Itoshe tu kusema, maisha yanaenda kasi!
Ninachokiona kwenye hili jukwaa ni sawa na mo kufilisika hadi kufikia hatua ya kupanga nyumba isiyo na sakafu (ya vumbi)!
Dah poleni Sana wapendwa!
Itoshe tu kusema, maisha yanaenda kasi!
Ninachokiona kwenye hili jukwaa ni sawa na mo kufilisika hadi kufikia hatua ya kupanga nyumba isiyo na sakafu (ya vumbi)!
Dah poleni Sana wapendwa!
Xavi akipewa team, lazima tumpe muda. Lazima apitie trial and error za kutosha ndio apate team ya kupigania makombe. Koeman kavuruga sana, mpaka sasa ameondoka team ikiwa haina first eleven. Kila siku kikosi kipya.