Kocha ndio hovyo timu nyingi tu zina wachezaji average lakini wanafanya vizuri angalia wachezaji wa Liverpool ni was kawaida ila kocha ndio yupo vizuri.
Inasikitisha team za england ,zimejaza wachezaji wazuri benchi na kuwatoa kwa mkopo wengine wakati Barcelona team nzima ya hovyo kabisa kiufupi ni ugoro kabisa ,hakuna hata mchezaji mmoja anayeweza kucheza first eleven ya man city,Chelsea ,Liverpool kwenye position yoyote .

Umeandika hili kishabiki labda, kwani pedri, ansu fati, dembele, etc wanaeza kucheza timu yoyote england tena first eleven ya uhakika sana,
bado dejong mbona ni bora sana mi nadhani ubovu wa kocha ndo unaiua barca basi