Hatuna majibu mkuu.. tunasubiri watolewe neymar ajeKweli PSG hawana tofauti na wamasai na usithubutu kamwe kuwapa dhamana wanaweza wakakuachia shuka.
Magoli gani yale wanayofungwa hadi unajiuliza alimfungaje Bayern Munich kwa ubovu wa ukuta wao huu???
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Wamehairisha mechi
Game imeisha 00Wamehairisha mechi
Na leo mmekila 2gTume draw tena na levante kwa 3-3
Bado tuna kazi kubwa ya kuisuka vizuri Defence yetu
Mbele strikers wanajitahidi sana kupata magoli lakini beki zinashindwa kulinda lango ipasavyo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mess ndio anauw timu akiondka itafanya vizurBarca ya sasa ni timu ya kawaida sana. Na hapo Messi hajaondoka.
Eti mtu wa kucheza na messi daaah!!Aisee tunapitia wakati mgumu sana...ila mimi nalia na ukuta wetu tu hicho cha kwanza,pili watu wa kucheza na messi pale badp hatuna
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha mfuate kwao mkacheze naeEti mtu wa kucheza na messi daaah!!
Hii team haina kocha sio kila aliyecheza Barca anaweza kuwa kocha mzuriAisee tunapitia wakati mgumu sana...ila mimi nalia na ukuta wetu tu hicho cha kwanza,pili watu wa kucheza na messi pale badp hatuna
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app