Timu nzuri lkn nyuma pameoza mbele pameoza, griezmann na dembele nguvu yao ndogo mno kuweza Ku match na lapulga
Nyuma akina shakira na MTU kama buesquet wamezeeka sasa..timu inahitaji big re form pale, kule mbele messi aletewe watu wa kariba LA lautaro martinez, debruine, neymar...wakiwa na ansu at least mambo yataenda