Tatizo la barca ni uendeshaji.
Tunataka kuwa kama Madrid kwenye uendeshaji.
Tunataka kuwa klabu ya kununua na kuuza na sio kuwekeza kwenye la masia kama zamani.
Tatizo la barca ni uendeshaji.
Tunataka kuwa kama Madrid kwenye uendeshaji.
Tunataka kuwa klabu ya kununua na kuuza na sio kuwekeza kwenye la masia kama zamani.
Kabsa mkuu.Yani kurugenzi yote ya barca inaona madogo kama bado kumbe ndo future ta barca yetu.
Suluhisho jingine tungepata kocha anayeijua vema barca.yani kocha zaidi ya Renald Koman. (Player wa palepale)
#Nampendekeza sana yule aliyeifundisha barca 2014-2015-luis Enrique. Yule jamaa aliondoka akiwa bado mtam