FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Naona mmetoka morocco na mwenzako, credit ziende kwa jamaa wa morocco maana kawaongezea nguvu kwa nyuma hadi mwenzako akaweza kuvizia na kupata viwili Leo...Mbwa nyie.
Bila shaka mmezipata salamu kutoka Santiago Bernabeu.
Pumbavu kabisa, sasa moto umewaka.
Tutawakojolea mmoja baada ya mwingine.
Saba moja, *****. Qumamae.
Hala Madrid
Kweli kabisa brother japo kuwa mimi na wewe siasani huwa hatupikiki lakini umeongea point kubwa mnoBx huenda yy ni barça fan ila basha wake ndo madrid fan
Hii comment ni kama ya mwanadada ambae hana bikra ya nyuma
Unajisifia kumfunga derportivo?
Kweli zizzou na vijana wenzake wameanza kuweuka
Nakushauri tuliza kijambio ili mmeo aendelee kukibonyeza
Kweli kabisa brother japo kuwa mimi na wewe siasani huwa hatupikiki lakini umeongea point kubwa mno
We dada mumeo anashida sana!Blaugrana wapi wewe....
Kama nyie mna vijambio kweli basi wafungeni Real Betis hata magoli matano leo, kama UEFA DEFENDING CHAMPIONS tulivofanya.
Hamna huo ubavu.
Nasubiri Mzee Eden Hazard aje awanyoe Vinumbu kubabake.
Gomez is our nightmareLeo ndiyo simuelewagi kocha kabisa unamuacha Paulinho unamuweka Gemez hapa ndiyo tunashindaga kwa miujiza
Kabsa mkuuAnafaa zaidi akicheza mbele au kiungo kuliko beki. Sijui kwa nn kocha anamuweka beki wakati Nicolas Semedo anaweza zaidi ya hyo namba na S. Robeto anaweza namba nyingne zaidi ya hizo.
Tuliza pakunyea hapoBlaugrana wapi wewe....
Kama nyie mna vijambio kweli basi wafungeni Real Betis hata magoli matano leo, kama UEFA DEFENDING CHAMPIONS tulivofanya.
Hamna huo ubavu.
Nasubiri Mzee Eden Hazard aje awanyoe Vinumbu kubabake.
Yan umekuwa kama farasi jik.e mwenye ashikiBlaugrana wapi wewe....
Kama nyie mna vijambio kweli basi wafungeni Real Betis hata magoli matano leo, kama UEFA DEFENDING CHAMPIONS tulivofanya.
Hamna huo ubavu.
Nasubiri Mzee Eden Hazard aje awanyoe Vinumbu kubabake.
Valverde ananipa mashaka kwa huyu gomezLeo ndiyo simuelewagi kocha kabisa unamuacha Paulinho unamuweka Gemez hapa ndiyo tunashindaga kwa miujiza
Katika wachezaji ambao Valvede anamwamini basi Rakitic, na anawechezesha na Busquet kama holding mildfildersLeo kati nimepakubali kasoro gomes tu. Naona Rakitic kaz anaifanya nzuri bila kumsahau Roberto.