Faulty Assumptions Some Men Have on Women

kwangu mimi na kwa njia yoyote niliyo au nitakayotumia hakuna mdada anaye au aliyechomoa. Nitaanza na wewe Nai ili uamini!!!!!. tukimalizana rudi hapa uwape majibu

Huna lolote kaka! Ni mashauzi ya bure tu! Hata kama kwa uchawi. Usichezee damu ya kimasai na kichaga!
 
aicee dada nai kuhusu assumption no1 wadada hasa wa kitz ndo mnatufanya tuamin hivyo,from my own experience kulikuwa na msichana ambaye nilimpenda af kwa bahati siku napiga stori na rafiki yake akaniambia yule mdada anakupenda cha kushanganza nilimpomfuata aliniambia hapana,hadi baada ya kausumbuf flan ndo akanikubali na kuniambia she always loved me.
 
sema tu hunifahamu mkuu, mimi ndiye papa M--- uliza wadada wote bongo movies mbona wananikoma
Sasa wale wadada wa bongo movies si ni wauzaji tu mkuu (Kama wale wa Kona bar, sema tu wao wako levo nyingine). Huwezi kusema unang'oa changu, ile ni biashara nipe nikupe. Kwa hiyo kama ni hao unaowazungumzia nakubali unaweza kung'oa yeyote unayemtaka.
 
Sasa wale wadada wa bongo movies si ni wauzaji tu mkuu (Kama wale wa Kona bar, sema tu wao wako levo nyingine). Huwezi kusema unang'oa changu, ile ni biashara nipe nikupe. Kwa hiyo kama ni hao unaowazungumzia nakubali unaweza kung'oa yeyote unayemtaka.
Nitake radhi mdogo wangu, wanawake wa bongo movies unawafananisha na gharasa wale wa corner Bar? -wewe kweli umezaliwa Msoga kuleeeeee kwa Baba Mwanaisha
 
sasa naelewa kwa nini wamekuanzishia uzi kuleeeeeee mtaa wa tatu.... Kumbe umewagusa eeeh
 
Wadada na wakaka mwasemaje? Hasa wadada, haya ni ya kweli au hamjakutana nayo? Wakaka naomba msichukie na kuporomosha maneno makali.Dunia hii ina mengi!
Asanteni

Ni mimi,
Miss Nai.
[MENTION]
Naisujaki Lekangai[/MENTION] hakikisha hapana yako inakuwa na inasomeka hapana utaeleweka.....................lakini hapana yako unapoisomesha kama ndiyo utaeleweka kama utakayo............kuna binti kabla hata hajasema hapana utajua tu atakacho.......kuhusu "vijisenti"..........ni nyie ndiyo mnatuingiza mkenge...................tunaona mwenye nazo anapewa huduma zote bila ya zengwe....................na asiyenacho huzungushwa zungushwa kama pia...................kwahiyo dozi ya utapeli mnapopatiwa mjue mnavuna mlichopanda wenyewe.........
 
Sijui hii nayo kwa upande wa wanawake tuiteje.........?


tp-why-did-i-get-married-angela-660x450.jpg

this movie, and the password was her birthdate. huyu mwanamke wa hivi ana matatizo sema pia hata huyu mwanaume hakuwa muwazi ingawa alikuwa mwaminifu.
 
Hizo ni Asumption tu na zitaendelea kuwa Assumption, Lakini ukweli unabaki pale pale.
Kupewa lifti tu ni tosha kwenu ku move into a next step,
 
assumpion 4

mkaka ukimzoea zoea tu,upende kupiga nae story basi anaanza kujiaminisha unamtaka lol anasimlia na washkaji zake
 
Back
Top Bottom