Fatuma Karume kumfananisha Rais na kinyago ni sahihi?

Ukikataza wananchi kumsema rais kwa bezo na kejeli (Fatma Karume hata hajafika huko, katumia tafsida tu), umewaruhusu wampige risasi huyo rais na kumpindua katika mapinduzi ya kijeshi.

It is as simple as that.

The probability of a military revolution in any country is inversely proportional to the freedom to satirize the head of state.

The more you have freedom to satirize the president,the less you have the probability of a military revolution.

Chukua Marekani na Burundi kama mifano utaona hilo.

Watu wastaarabu huwa hatupinduani kwa kupigana risasi katika mapinduzi ya kijeshi.

Huwa tunapinduana kwa vijembe, kejeli, utani, misemo.

Nimempenda bure Fatma Karume.
chama cha makinikia akili zao washaweka rehani hawawezi kuelewa ulichokiandika japo kuwa watasoma na kuwakaa akilini
 
Fatma Karume anatuongelea wengine mamilioni wengi sana, Magufuli akitaka kuthibitisha kwamba yeye ni Dikteta Uchwara ambugudhi Fatma Karume.

Issue itachukua sura tofauti.

Huyo Tundu Lissu anaweza kusema ni mpinzani wa kisiasa, kuna mengi yana utata.

Akimgusa Fatma Karume dunia nzimaitamuandika Magufuli kwamba anasakama mpaka mawakili wanaotetea watejakwa mujibu wa haki za kikatiba, atakuwa kajiingiza katika beef na mitandao ya wanasheria wa dunia nzima.

Kuna watu wamekaa wanagojea tu waone atafanya nini.
umesahau ishu ya muungano pia wazanzibar hawatamuelewa

Afu naona sasa kuna mambo mengine yanafanywa kumjazaa upepo mkulu mfano hili tu umejiuliza kwanin sasa fatma karume ameamua kumtetea lissu( japo najua ni kaz yake kama wakili ) na sio kibatala tena

Kuna mchezo unachezwa behind
 
Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Kikwete, walifanikiwa kutawala na kumaliza nyakati zao kwa kuwa walijua namna ya kuishi na watu, kauli nzuri hasa kwa waliowapinga, na namna ya kusoma ''alama za nyakati''. Dunia ya leo huwezi kuwafunga watu ''mdomo'' kwa kutumia nguvu za dola, kamwe hutafanikiwa hasa kwa nchi kuuubwa kama hii TZ.

Watz tunapinduana kwa hoja na utani tu, na mwisho tunaenda kulala tumeauuzika mioyo, kunakucha hakuna mwenye kinyongo!!!!!! Haya matumizi ya nguvu kiasi hiki hatujazoea, na wala hayana faida bali hasara tu.

Hebu fikiri: Kuanzia wiki jana, na mpaka wiki hii nzima ni Lissu, Lissu Lissu!!!!! Wala hapakuwa na ulazima wa hilo. Angalia: Haikuwahi tokea ktk nchi hii, mawakili 20 kusimamia kesi ya mtu mmoja!!!!! Na kwa jinsi kesi ilivyo kaa, atashinda tu. Je akishashinda, aibu kwa nani???? Na vipi kama tungeliachana na hilo suala la matumizi ya nguvu?????

Ngoja tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom