Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Katika vitu ambavyo sitakaa nifanye katika maisha yangu ni kusema kitu hiki leo tena dunia nzima ikinisikiliza halafu kesho kufanya tofauti kabisa na maneno yangu ya jana. To me this is so embarassing, kweli hata watoto wangu watanishangaa sana. iweje majority ya wanasiasa wanaishi kwa uongo tena uongo mkubwa sana ina maana they have no one from their family to tell them this is not right ama kila mtu huku Tz anaona uongo ni sawa?
Ukweli ni kwamba it is easy for them to be so, kwa sababu kwao siasa ni kama mchezo wa kuigiza..leo anaeza kuigiza kama polisi ..kesho akaigiza kama jambazi..na hii yote inasababishwa na njaa (kujaza viriba-tumbo). Kama wanasiasa wengi wangekuwa wanachukulia siasa kama it is something this nation depends on it, tungekuwa na very challenging system, si tu kutoka upinzani, bali hata kutoka kwene chama tawala. It is sad ndio tulipo na hii ndio pool ya watu tulionao.