Nimecheka , sins mbavu aisee.Karibu kwenye siasa huku mimba za wanasiasa ndo zinapatikana kwa urahisi sana.
Achana na hizo za wauza unga.
Ya Mbowe na Kigogo mmeyamaliza? Maana uvundo Wa Mbowe mnavyoutetea sikutarajia ungepata ujasiri Wa kuyaandika haya.Akili zao hawa ndio zilivyo, mtu akikasirishwa na uvundo wa CCM basi hata kama ni mwanzilishi wa CCM ataonekana mpinzani wao.
Kwa maana hiyo sifa kuu ya kuwa mwanaccm ni kutosikia au kunukiwa na uvundo wa CCM
"Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia.
May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.
Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume
Msikilize zaidi hapa chini:
Ushujaa ushawahi kukusaidia au umedumaa tu... tizama upepo unavyoenda uendeshe ngarawa yako
ulisoma ulichoandika kabla ya kupost?Huyo mama ajue huwezi kushindana na serikali... labda kuwe na wananchi vichaa waandamane kama misri... kosa lolote liwe linamgusa mwananchi directly ndio kutakuwa na mabadiliko... it's up to her achague siasa au sheria.. na akiingia upinzani atapotea tu maana upepo wa sasa ni chama tawala tu... nchi ni huru hivyo hana pa kwenda kama yule mkulima na ndege yetu ambayo kwa raia ni kama zero ila kwa serikali ni mtaji wa kisiasa
Nitajie jambo moja la maana au la kipumbavu alilowahi kulifanya Fatma Karume kiasi cha kumuweka kwenye Political heights kama mnavyomtarajia?Watawala wetu wamemsukuma Mh. Fatuma Karume mpaka ameenda kuangukia kwenye siasa. Leo nimemsikia BBC akisema mabadiriko Kenya hayakuletwa na mahakama wala wanasheria- yameletwa na siasa; TUMETENGENEZA SLAA MWINGINE- watakao kuwepo utawani wakati atakapo kuwa amekomaa wamtafutie Ubalozi mapema
Haya Chadema imetajwa Tena!Fatuma Karume anakabidhiwa kadi ya ACT WAZALENDO wiki hii, CHADEMA mmepigwa chenga tena
Ridhiwan Kikwete amefanya lipi?Nitajie jambo moja la maana au la kipumbavu alilowahi kulifanya Fatma Karume kiasi cha kumuweka kwenye Political heights kama mnavyomtarajia?
Vipi unataka mchangie.!!Hivi huyu mama mmewe mbona simuoni saaana au ....
Hahaahaaaaahaa duh ujue niko std 7 mwaka huu. usiseme kwa nguvu nitapigwa na mwalimu wa nidhamuVipi unataka mchangie.!!
Std seven na mitandao wapi na wapi au nyie ndio wale wanaosomea ujinga.Hahaahaaaaahaa duh ujue niko std 7 mwaka huu. usiseme kwa nguvu nitapigwa na mwalimu wa nidhamu