Fatma Karume kujitosa kwenye siasa?

Fatma Karume kujitosa kwenye siasa?

Akienda kugombea ubunge kule Pemba ni saa saa 3 asubuh atakuwa ameshapita Kwa Kura zote...
Serikali imebugi Sana kuruhusu huyu Dada kuingia bungeni ni Bora angebaki kule Kwenye Sheria maana atawanyoosha kwelikweli mjengoni
kwani akienda bungeni atabadilisha nini ambacho kina Lissu, Mnyika, zitto, Mbowe, Matiko, Mdee wameshindwa?
 
Mimi naunga mkono aingie kwenye siasa. Kujitosa kwenye siasa hasa za upinzani kwa wakati huu kunahitaji ujasiri. Yeye ni jasiri kwa yale aliyothubutu kuyafanya kwenye sheria. Kama wanamuogopa kwenye sheria, kwenye siasa atatisha zaidi.
Mwepesi sana huyo
Siasa zinataka hesabu,huyo muda wote yeye jazba tu
 
Huyo mama ajue huwezi kushindana na serikali... labda kuwe na wananchi vichaa waandamane kama misri... kosa lolote liwe linamgusa mwananchi directly ndio kutakuwa na mabadiliko... it's up to her achague siasa au sheria.. na akiingia upinzani atapotea tu maana upepo wa sasa ni chama tawala tu... nchi ni huru hivyo hana pa kwenda kama yule mkulima na ndege yetu ambayo kwa raia ni kama zero ila kwa serikali ni mtaji wa kisiasa
Mtazamo wa mtu mwoga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuonea huruma wewe kwangu pakavu tia mchuzi.
Huyo kazaliwa ccm na hapo alipo ni kwa huduma za ccm lkn bado haitaki kabisa lkn wewe kajamba nani ndiyo unajikomba komba kwa ccm!
Mwepesi sana huyo
Siasa zinataka hesabu,huyo muda wote yeye jazba tu
 
Nakuonea huruma wewe kwangu pakavu tia mchuzi.
Huyo kazaliwa ccm na hapo alipo ni kwa huduma za ccm lkn bado haitaki kabisa lkn wewe kajamba nani ndiyo unajikomba komba kwa ccm!
Tatizo la humu hatujani
 
Inamana Alikutumia hiyo text ili Uje Kututangazia au nikimbelembele chako..
Hata hivyo hato badili chochote
 
Mimi naunga mkono aingie kwenye siasa. Kujitosa kwenye siasa hasa za upinzani kwa wakati huu kunahitaji ujasiri. Yeye ni jasiri kwa yale aliyothubutu kuyafanya kwenye sheria. Kama wanamuogopa kwenye sheria, kwenye siasa atatisha zaidi.
Na sio mtu mwenye asili ya njaa, huyo anafaa maana wengi wanaangushwa kwenye misimamo yao na njaa tuu
 
"Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia.

May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.

Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume

Msikilize zaidi hapa chini:

Shangazi, MWANA WA MIHUNZI HUWA MUHUNZI, ukija huku siasani, NYEUSI KUWA NYEUPE HATUSHANGAI KWAKUWA mwalimu wetu mkubwa ni MTIZAMO usije ukathubutu kuuliza inakuaje jibu litakua hapo juu ni MTIZAMO.

Karibu.
 
Akitaka apewe kesi ya uhujumu uchumi fasta aingie kwenye siasa...
 
Kwanini usiseme atakuwa ni mwana CCM MTIIFU?
Akili zao hawa ndio zilivyo, mtu akikasirishwa na uvundo wa CCM basi hata kama ni mwanzilishi wa CCM ataonekana mpinzani wao.
Kwa maana hiyo sifa kuu ya kuwa mwanaccm ni kutosikia au kunukiwa na uvundo wa CCM
 
Back
Top Bottom