Fatma Karume, kubali umeteleza

Nani amesema siyo dhambi au kukompare which one is big or not.....sasa kwanini aseme wazi wazi anal sex ni fresh tuu as if siyo issue ni mambo ya kawaida katika jamii na sheria za nchi ....tumia ubongo kufikir siyo #tumbo
Itakuwa unaubwege wa ubongo,
Hebu soma vizuri kinacholalamikiwa ni nini kabla ya kukurupuka na swanglish zako
 
Ndo maana kwenye katiba imesema everyone z equal.. Sasa why ubaguzi wawaache watu wafanye yao angalizo.. Wasifanye publicly it is indecent
Sawa.
Basi endeleeni kugawa linda tu.
Si mnasema ni haki yenu.
 
Pamoja na kwamba siupendi ushoga but nakubaliana na Shangazi, watu wazima wakiamua kufanya mambo yao chemba let them..

So ukimkuta baba na mdogo wako wa kike wanafanya mapenzi na wakakwambia wamekubaliana, kwako itakuwa ok na utaridhika na kuwaachia waendelee??
 
Kichwa kinauma baada ya kusoma comment yako.

Mimi sijali watu wazima wawili [au hata zaidi] walivyoamua kutumia viungo vyao kwa starehe zao.

Sijali kabisa nani anamtoomba nani au nani anamfiiira nani, madhali wawe ni watu wazima na wanafanya kwa ridhaa zao.

Kufiiirwa afiiirwe mwingine halafu kuhemuka nihemuke mimi? Hapana. Hayanihusu kabisa.
 
ushasema wanyama hawafanyi hapa tunaongelea binadamu mkuu, vingi tu wanyama hawafanyi mathalani wanyama hawapiki hula vibichi vipi hapo, si ni kawaida, binadamu ana yake na wanyama wana yao tofauti
 
Am not a lesbian. But kama mtu anafanya private mwache afanye ni mwili wake na ni maamuzi yake pia acheni wivu.
Ingawa ikitokea mwanangu akiwa shoga nitasononeka.

Usononeke nini sasa wakati ni maamuzi yake? We si unasema ni fantasy?? Acheni kushabikia vitu visivyo na maana kwa ushabiki tu..
 
So ukimkuta baba na mdogo wako wa kike wanafanya mapenzi na wakakwambia wamekubaliana, kwako itakuwa ok na utaridhika na kuwaachia waendelee??
Not OK,utamsaidia kumuelimisha ama kumkanya aache,
Siyo kumtenda kikatili kama mnyama na kumsusa
 
Hii ni dhambi,na dhambi yyte lazima ikemewe,
Lkn kibaya ni kuwatenda kinyama na kuwatesa ama kuwadharilisha waliotenda,tunapaswa kutowatelekeza tuwasaidie waache
 
Halafu neno kinyume na maumbile ni pana sana,
Kiungo chochote kikitumika kinyume na kilivyoumbwa ni kinyume na maumbile,
Beba picha hiyo halafu anza kudadavua,
Maana kuna vinyume vingi watu hawavioni kosa labda sababu wanafanya
 
For the very first time, nitampinga sana shangazi kwenye hili!
 
Anicet mchomvu,
Swali jepesi ni MWANAUME akileta posa kwao ili KUMUOA mtoto wake wa kiume atakubali? Au mwanamke aje kumposa mtoto wake wa kike je atapokea mahari ili mtoto wake wa kike akasagwe na mwanamke?
Nimemchekii 🙄🙄 nikasema hihi 😀😀😀hi hiii kwisha habari yake
 
Yesu asingesapoti huu ujinga. Hata sumaku likely poles zinakwepana.
 
Mnavyoviongea si anavyovimaanisha.

Iwapo Lugha anayoitumia mnaielewa?
Bila shaka basi,
Hamna uwezo wa kutafakari na kuchambua hoja kimantiki.

Nimekuambia hiyo Habari ya adhabu kasema haiendani na kosa na nikakuwekea mabano
(Maoni yake)
Bado tu unaongelea adhabu haijawekwa kumfurahisha mtu kwani Mimi nimesema yupo sahihi au ana makosa?

Narudia,
Yeye anatetea Kila mtu Aishi apendavyo.
Asibaguliwe kutokana na 'Muelekeo wake katika kujiridhisha Kingono'.

Utaniambia Sheria yetu inakatakaza,
Nalijua hilo,
Pia yeye analijua hilo tena kiundani zaidi yako wewe na Mimi pengine.

Hoja yake,
Haoni kuwa Sheria iliyopo iko sawa.

Nami nasema yupo sawa kuwa na Maoni yake katika hili na lolote lingine.
Ni Haki yake.
Mimi pia ninayo Haki ya kutetea Haki yangu na ya mwingine yeyote nikijisikia kufanya hivyo kama kama nifanyavyo sasa.

Sijui naeleweka?
 
kuna wakati kusoma sana nako ni ujinga yani unakua broiler kwenye kila nyanja ya ubongo wako
 
Unfortunately even the person you wish you could be, doesn't have the power you wished he had.
Sympathetic😏
 
Kuna watu Hawaoni soni kuweka hadharani 'ujinga' wao

Mtu hajui lakini anavyoongea utafikiria yeye ni Zoologist.


MHESHIMIWA, USIJITIE MJUVI WA WANYAMA MAANA HAUNA LOLOTE UNALOLIJUA.

HATA UKIPEWA USHAHIDI WA WANYAMA MASHOGA BADO UTAENDELEA KURUKA RUKA NA NGONJERA ZA SODOMA NA GOMORA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…