Fatma Karume, kubali umeteleza

Fatma Karume, kubali umeteleza

Kwa mantiki hiyo,hata adhabu za makosa ya kujaribu kujiua kwa hiari inabidi zifutwe mkuu?
UKIJIUA UNALETA MADHARA KWA WANAOKUTEGEMEA.

LAKINI MTU AKIAMUA KUWA SHOGA HALETI MADHARA HALISI KWA MTU MWINGINE.
 
Atimuliwe kwa kosa gani?
Naamini waasheria wenzake wanamuelewa kuliko mimi na wewe tusiojua sheria yoyote.
Una-uhakika mimi sijui sheria....! Kumbuka kuna tofauti ya kujua sheria na kufanya kazi zinazohusiana na mambo ya kisheria.
 
UKIJIUA UNALETA MADHARA KWA WANAOKUTEGEMEA.

LAKINI MTU AKIAMUA KUWA SHOGA HALETI MADHARA HALISI KWA MTU MWINGINE.

Mkuu,hivi kwa mfano kijana akagundua dingi yake,au mke akagundua mumewe anavurugwa mbolea mtaani,haitamletea madhara hasa ya kisaikoloji?au wewe umelenga madhara yapi mkuu?
Lkn pia hata uwe kapuku,ukijaribu kujiua ukabainika unashitakiwa,sasa madhara hayo ni yapi mkuu?
 
Mkuu,hivi kwa mfano kijana akagundua dingi yake,au mke akagundua mumewe anavurugwa mbolea mtaani,haitamletea madhara hasa ya kisaikoloji?au wewe umelenga madhara yapi mkuu?
MADHARA HALISI. (yanayoonekana na kushikika)
 
Wanaume wa dar unganeni na Makonda mtubu.
Kumbukeni wakati Sodoma na Gomola Mungu alitia gharika,msisubir afanye hivo hapo dar. Na hivo Bahari ipo karibu shauli yenu. Chapu tu anafungulia koki.......
 
Una-uhakika mimi sijui sheria....! Kumbuka kuna tofauti ya kujua sheria na kufanya kazi zinazohusiana na mambo ya kisheria.
Ni sawa kama unaijua sheria vizuri mimi siijui ila natambua haki ya kila mwanadamu haijalishi ulemavu wowote alionao.
Ilaumu na serikali pia. Maana tamko walilolitoa halijakemea.
 
Naomba kwanza kujuzwa
Hii account ya twitter ya shangaz is it a verified account ya fatma karume au ameshawahi kiri ana use hiyo handler
Mana naonaga watu mna mquote wakat waweza kuta ni ka amateur lawyer associate kana mwaga mapovu
 
UKIJIUA UNALETA MADHARA KWA WANAOKUTEGEMEA.

LAKINI MTU AKIAMUA KUWA SHOGA HALETI MADHARA HALISI KWA MTU MWINGINE.
Are u sure???? Mkuu unafikra fupi sana, jamii inaplay part kubwa kushape tabia za watoto, tukifumbia macho ufuska kama huo tutakuja kuw na generation ya kifuska, if u dont see this kama madhara unamatatizo.
 
HAUJATAJA MADHARA.
 
Once again stupid lawyer ever in Tanzania.. Sijui wapumbavu gani walimchagua kuiendesha TLS.
Stupid indeed! matatizo ya kufanya mambo kwa mihemko bila kushirikisha akili, elimu wala nafasi aliyonayo,,
 
-Dammit you nailed it!

Hapo ulipo kama Canteen wanapokea Tigo rusha,
Kula lunch mwaambie Mtu wa kaunta alete Bill kwangu:
+255 714 59 15 48.

Neno la Siri ID yako.

#dalalitz
Hahaha!
Shukran mkuu nilishapata lunch
Tuendelee kueleweshana taratibu mkuu mihamko ni kitu kibaya sana

Mimi najiuliza maswali
Unamkamata shoga unamhukumu vipi?
Vipi kuhusu aliyemfanyia?
Hiki kitendo hakifanywi na mtu mmoja lazima wawe wawili au zaidi
How do you prove it wakati hakuna mlalamikaji?

Hakuna namna unaweza kuwashitaki na ukashinda kesi, ninachokiona hapa viongozi wanatumia vizuri ujinga wa watanzania kusogea 2020!
 
Yesu asingesapoti huu ujinga. Hata sumaku likely poles zinakwepana.

Mkumbushe tu, hata Yesu alipoingia kwenye sinagogi na kuwakuta watu wakifanya bizines mule aliwakimbiza na kuwaambia wasigeuze nyumba ya baba yake kuwa pango la wanyang’anyi. Sasa ndio ije kuwa ushoga??
Halafu mwambie aache kufananisha mbingu na ardhi huyoo
 
Back
Top Bottom