Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Soma vizuri umuelewe. Hajazungumzia habari za mtu kujirekodi video akifanya mapenzi. Hilo liko wazi kuwa ni kosa. Iwe kwa kwa mwanaume na mwanamke au jinsia moja, hilo liko wazi kuwa ni kosa kupost. Nilichomuelewa ni ile kutaka kuwashtaki mashoga..sio sahihi, mwache mtu na fantasy zake..mtu anafanya private wewe inakukera nini?Huyu dada anatafuta kiki kwa nguvu sana kumtetea Amba rut kama angekuwa kafanya bahati mbaya sawa lakini amba rut amepost video nyingi sana akifanya mapenzi kwenye mitandao tena akiwa na hiyo shoga walieshtakiwa Naye wakibanduliwa pamoja . Huyu karume simpendi kwa sababu amekula bata sana kwenye familia yao sasa na baada ya kukosa teuzi serikalini anajifanya mwanaharakati . Lakini kwa hili aidha fatma msagaji au anatumika kuvuruga watu.
Nawe kasagaji NiniDada Fatma uko sahihi 100% siku zote una ongea vitu unavyoona viko right,kusimama kwenye jamii ya ma homophobics na kutoa opinion Kama yako bila kujali fani Yako au nafasi yako katika Jamii ni Jambo la kiujasiri sana,TLS wana jembeee
Am not a lesbian. But kama mtu anafanya private mwache afanye ni mwili wake na ni maamuzi yake pia acheni wivu.
Nawe kasagaji Nini
Two consenting adults cannot do their sexual acts harafu wasambaze mitandaoni na wabakie salama. Not free to that extent..
Sheria ya nchi inaruhusu ndugu ? Mbona mna vichwa vigumuSoma vizuri umuelewe. Hajazungumzia habari za mtu kujirekodi video akifanya mapenzi. Hilo liko wazi kuwa ni kosa. Iwe kwa kwa mwanaume na mwanamke au jinsia moja, hilo liko wazi kuwa ni kosa kupost. Nilichomuelewa ni ile kutaka kuwashtaki mashoga..sio sahihi, mwache mtu na fantasy zake..mtu anafanya private wewe inakukera nini?
Hayo ni maamuzi yake binafsi.
She forgot to mention it...so hana grounds za kuwatetea. Kwa alichokisema, anaweza kuwa sahihi. As long as unafanya yako chumbani mwako in private, it is ur own business.Kuna sehemu Fatma kazungumzia habari za kusambaza mtandaoni? Ni kama mnamlisha maneno
Duh! Mnaofumuliwa vinyeo kumbe ni wengi!!Sure 200% my vote watu wafanye wanayoona yanawafaa kwamaana haimuathiri MTU mwengine
Kwani sheria ni kitu ambacho hakiwezi kubadilika? Sasa ukimpeleka jela itasaidia nini? Ushoga utaisha? Zitafutwe njia nyingine za kuelimisha madhara ya ushoga lkn kumpeleka jela hakutasaidia chochote..mashoga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.Sheria ya nchi inaruhusu ndugu ? Mbona mna vichwa vigumu
WEWEEEEEEEEEEEHH!!Mwanamke haramu sana huyu kama nyama ya tako, sie wa bara bwana!
INDEED!Soma vizuri umuelewe. Hajazungumzia habari za mtu kujirekodi video akifanya mapenzi. Hilo liko wazi kuwa ni kosa. Iwe kwa kwa mwanaume na mwanamke au jinsia moja, hilo liko wazi kuwa ni kosa kupost. Nilichomuelewa ni ile kutaka kuwashtaki mashoga..sio sahihi, mwache mtu na fantasy zake..mtu anafanya private wewe inakukera nini?
Hayo ni maamuzi yake binafsi.
KABISA MKUU! HAIWEZEKANI MTU MZIMA MWENYE AKILI TIMAMU UPANGIWE JINSI YA KUFURAHIA MWILI WAKO!Am not a lesbian. But kama mtu anafanya private mwache afanye ni mwili wake na ni maamuzi yake pia acheni wivu.
Ingawa ikitokea mwanangu akiwa shoga nitasononeka.
KABISA MKUU!!Kwani sheria ni kitu ambacho hakiwezi kubadilika? Sasa ukimpeleka jela itasaidia nini? Ushoga utaisha? Zitafutwe njia nyingine za kuelimisha madhara ya ushoga lkn kumpeleka jela hakutasaidia chochote..mashoga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.
Hakuna anayeweza kutokomeza ushoga Tanzania na hata duniani kwa ujumla.
Tuna mambo mengi ya maana ya kufanya.
Sifurahishwi na wanaojianika mtandaoni lkn km hajitangazi sioni tatizo lolote.
Makonda anavyotaka list ya mashoga anataka kuwafanyaje? Haya na hao wanaowapakua mashoga mmeshajua jinsi ya kuwakamata? Au mnawaonea tu wanaopakuliwa? Hii issue sio rahisi kama unavyodhani.
Wananchi hawana maji, huduma ya afya na mengine kibao leo mnakazana kuwaweka jela kina ben kinyaiya itakusaidia nini wewe?
KABISA MKUU! HAIWEZEKANI MTU MZIMA MWENYE AKILI TIMAMU UPANGIWE JINSI YA KUFURAHIA MWILI WAKO!
EBO! SHERIA GANI ZA KIPUUZI HIVI!
MWISHOWE WATU WATAKATAZWA KUPIGA PUNYETO ILI WATUNZE MAADILI YA KITANZANIA!
sasa binti kulala na babake mzazi na ngono ya watu wawili gays ama lesbians vina mfanano upi!!!!,Wewe ni moja ya wanawake wenye elimu nzuri. Mwanamke jasiri na mwenye uthubutu wa kuongea jambo lolote ukiliona halijakaa sawa. Elimu yako na sifa zingine lukuki ndizo zimekupa heshima kubwa kwenye jamii ya kitanzania.
Nafahamu wewe ni mwanasheria na una uelewa mpana kuhusu fani hiyo. Unajua kuwa sheria zipo kwa ajili ya kuifanya jamii iishi kwa amani bila kuvunjiana haki za watu. Lakini pia unaelewa kabisa zipo haki ambazo mtu huweza kuzidai ambazo zitauvua utu wa mtu na kudhalilisha watu wengine.
Mimi ni miongoni mwa watu ninaopendezwa na mengi uyafanyayo na uyateteayo lakini sasa naona unataka kuboronga. Naomba usimalize vibaya na kujivunjia heshima yako ambayo sisi vijana tulikuwa tunakupa. Vinginevyo tuwe tulikujua tofauti na ulivyo lakini bila shaka najua uliteleza.
Hatuwezi ruhusu kila kitu kwa kigezo cha haki na maamuzi binafsi ya mtu. Embu fikiria kama tukiruhusu mambo unayoyatetea unadhani nini kitatokea.
Embu fikiria turuhusu Mtoto wa kike alale na Baba yake mzazi unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Kisa tu ni mambo binafsi ya watu. Embu fikiria mtu afanye mapenzi na mnyama unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Embu fikiria sasa hivi hapo wewe utembee na mwanao wa kiume eti kisa tu ni haki na mambo yako binafsi unadhani utu wako utakuwa wapi?
Kujua sheria kusikufanye ukavuka mipaka ya asili. Ukavunja kanuni za asili ambazo zimewekwa na Mungu(sio kwa umuhimu).
Tunahitaji wanawake kama ninyi mpiganie mambo ya msingi. Mambo kama Haki za wanawake, haki za watoto, na mambo mengine. Lakini si kutetea ujinga na upuuzi.
Kujua sherias sio kutetea Uovu na kudhalilisha utu wa mtu. Nilitegemea Mama kama wewe ungetumia muda wako kutoa elimu za kisheria na matamko makali ya kuonya kuhusu tabia za ushoga na usagaji. Ukiwa kama Mzazi wengi wangefurahi kukuona ukiwashauri wadada wanaotupa picha za uchi mitandanoni waache kwani wanadhalilisha jinsia ya kike ukiwemo wewe.
Lakini matokeo yake umepuyanga na kuteleza katika utelezi wa kimagharibi. Sikulaumu wala sikushutumu kwa ulilolitenda kwani najua huenda uliteleza.
Nitakulaumu endapo hutafuta kauli yako. Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Maliza vizuri kwa heshima. Wewe si binti tena mpaka uongozwe na mihemko hivyo busara ikutawale umalizapo zamu yako.
Heshima uliyonayo ni kubwa kwenye jamii ndio maana hata Ukachaguliwa na wanasheria wenzako kuwaongoza kwa mwaka huu.
Hii ilitosha kukufungua akili jinsi Watanzania wanavyokuheshimu. Sasa unapofanya mambo haya kiukweli unanipa mashaka mimi na wengine wenye akili za mfano wangu ambao bila shaka ni wengi.
Hatukusoma ili tuudhalilishe utu wetu. Hatukupata nafasi za juu ili tuifanye jamii yetu kuwa ya kinyama. Mambo ya hivyo tuwaachie mataifa mengine. Kama yupo anayependa mambo hayo tutamsaidia kumpa uhamisho aende akaishi huko ili afanye bila shida.
Hata hivyo serikali ni kama imepoa sana kiasi kwamba inaachia baadhi ya mambo yaenda kiholela. Udhalilishaji wa kina mama umekua kwa kiasi kikubwa. Sasa naona unahamia kwa wanaume.
Nilitamani kusikia wanasiasa, wanaharakati, na viongozi wa dini wakipinga mambo haya kwa nguvu zote. Ushoga na kutuma picha za uchi mitandaoni.
Lakini Mhe. Fatuma umeingia katika kundi la wanaowatetea. Haki ndio wanayo lakini si katika taifa hili. Kama unawaonea huruma basi iombe serikali ikupe ruhusa uwahamishia katika nchi zinazokubaliana na mambo hayo
Mhe. Fatuma Karume, ni matumaini yangu kuwa Andiko hili hutoshindwa kulielewa hakika. Nafahamu unahekima ambayo haitashindwa kuona mahali ulipokosea. Muungwana hukubali maonyo bila kujali anaonywa na nani. Usiwavunje moyo vijana wanaokuchukulia kama Role model wao.
Ikufikie ulipo.
View attachment 920312
MHESHIMIWA WEYE NDIO UNA BICHWA GUMU NA ZITO!Sheria ya nchi inaruhusu ndugu ? Mbona mna vichwa vigumu