Fatma Karume, kubali umeteleza

Fatma Karume, kubali umeteleza

Am not a lesbian. But kama mtu anafanya private mwache afanye ni mwili wake na ni maamuzi yake pia acheni wivu.
Ingawa ikitokea mwanangu akiwa shoga nitasononeka.
Anapaswa kusaidiwa atoke huko,
Afundishwe kuacha dhambi,
Siyo kumbagua na kumbagua km ss hatuna madhambi
 
Hata kama nchi yetu itapitisha sheria ya kuwatambua hawa watu mi nitapinga mpaka mwisho wa safari yangu hapa duniani!
 
Hata kama nchi yetu itapitisha sheria ya kuwatambua hawa watu mi nitapinga mpaka mwisho wa safari yangu hapa duniani!
Mambo mengine tuombe tuendelee kuyaona kwenye TV ila ikitokea ukayaona kwa mwanao uliemzaa sidhani kama utarudia kuandika ulichokiandika hapa.

Kwa ile video kama ni mwanao utaomba mbingu zipasuke.

Ila kwakuwa haijatokea kwenye familiya yako kenua meno yote na uombe mungu akunyime uzazi.
 
Hata nisipoona poa sitakuwa na uwezo wa kumzuia mtu mzima. Tushughulike na tatizo kuanzia chini ndani ya familia/jamii. Ukimpeleka jela ataacha? Au ushoga utatokomea?
Ikitokea kabinti kako unakokapenda ukagundua kanatatuliwa ******* utaona poa?
 
Jamaa, jifunze kuandika kitu ukizingatia Brevity. Get to the point, ngonjera ndeeeefu kumbe point iko mwisho, tena screenshot, unapoyltezea watu muda kusoma lirisala lako hilo la nn?

Halafu kulala na baba ni 'INCEST', na kwenye post yake hajataja incests, na kulala na wanyama ni 'BEASTIALITY', pia hajaitaja kwenye post yake, acha kumuwekea maneno mdomoni.

Ila na-support hoja kwamba homosexuality si kitu cha kucheka nacho, lazima kipigwe vita kwa nguvu zote
Na wewe acha mbwembwe na ujuaji.
 
Kuna mtu ipo kwenye damu asipofanya vile mambo yake hayaendi . Huyu mtu tumfunge gerezani au tumsaidieje ? Ni watu walioathirika kama madawa ya kulevya hivyo wasitengwe ila wasaidiwe kwani aliyekuumba wewe ndie aliyewaumba .
 
Hata jambazi anapataga mwanasheria na anaweza kushinda ata kama kwel aliiba jmn tukitaka mengine tufate sheria mengine tufate mila tutachelewa wimbo wetu pendwa wa uchumi wa kati sheria iwe msumeno haya mambo ya video yamejaa mno kwa watu wengi sema hao imevuja kama tunapenda sana utamaduni sema muheshimiwa azime mtandao haya yote yataisha dada kama kuna kitu kaonewa tuache atetewe
 
Mambo mengine tuombe tuendelee kuyaona kwenye TV ila ikitokea ukayaona kwa mwanao uliemzaa sidhani kama utarudia kuandika ulichokiandika hapa.

Kwa ile video kama ni mwanao utaomba mbingu zipasuke.

Ila kwakuwa haijatokea kwenye familiya yako kenua meno yote na uombe mungu akunyime uzazi.
Narudia tena vitendo vya kishoga mm sitaviunga mkono kwa namna yeyote ile kwa sababu ni mwanao ndo afanye ujinga ww mzazi uchekelee tu?
 
Sipendi ushoga ata kidogo, lakini kumhukumu shoga kikatili namna hiyo ni kupungukiwa uwezo wa kufikiri, watu waliojaliwa akili nyingi hawawezi kumhukumu shoga kama wafanyavyo waliopungukiwa akili.
 
Ikitokea kabinti kako unakokapenda ukagundua kanatatuliwa ******* utaona poa?
Kwa hyo utakabagua au utakasaidia kuacha,
Tuchukie tendo hilo
Siyo kuchukia watu,
Maana hatujui chanzo mdada au mkaka kuanza hilo jambo,
Wengine ni wahanga Mara mbili,
Unakuta alianza kwa kubakwa utotoni,
Akazoezwa na leo tunambagua,
 
Ni kweli. Kumpeleka jela hakusaidii kuondoa tatizo
Na tusiwatendee ubaya,tuwasaidie watoke huko,tusijifanye ss bora kuliko wao,
Tunawatenda km wanyama,
Siyo sahihi kuwadharilisha,
 
Narudia tena vitendo vya kishoga mm sitaviunga mkono kwa namna yeyote ile kwa sababu ni mwanao ndo afanye ujinga ww mzazi uchekelee tu?
Kuna jambo nadhani hatuelewani,
Siyo kuviunga mkono,ni
1:kutowatenda km wanyama,kuwadharilisha na kuwatenga
2:kutoina hii km dhambi pekee ya kuwanyooshea watu vidole ,na dhambi zingine tuzichukulie kwa uzito huo
 
In pope's voice.
 
Hakuna dhambi na ww unayoifanya,
Acha unafki,
Dhambi ni dhambi
Nani amesema siyo dhambi au kukompare which one is big or not.....sasa kwanini aseme wazi wazi anal sex ni fresh tuu as if siyo issue ni mambo ya kawaida katika jamii na sheria za nchi ....tumia ubongo kufikir siyo #tumbo
 
Back
Top Bottom