Fatma Karume, kubali umeteleza

Fatma Karume, kubali umeteleza

She is right 100 percent. Watanzania chapeni kazi badala ya kudeal na mambo ya kipuuzi.
 
Dada Fatma uko sahihi 100% siku zote una ongea vitu unavyoona viko right,kusimama kwenye jamii ya ma homophobics na kutoa opinion Kama yako bila kujali fani Yako au nafasi yako katika Jamii ni Jambo la kiujasiri sana,TLS wana jembeee
 
Wewe ni moja ya wanawake wenye elimu nzuri. Mwanamke jasiri na mwenye uthubutu wa kuongea jambo lolote ukiliona halijakaa sawa. Elimu yako na sifa zingine lukuki ndizo zimekupa heshima kubwa kwenye jamii ya kitanzania.
Nafahamu wewe ni mwanasheria na una uelewa mpana kuhusu fani hiyo. Unajua kuwa sheria zipo kwa ajili ya kuifanya jamii iishi kwa amani bila kuvunjiana haki za watu. Lakini pia unaelewa kabisa zipo haki ambazo mtu huweza kuzidai ambazo zitauvua utu wa mtu na kudhalilisha watu wengine.
Mimi ni miongoni mwa watu ninaopendezwa na mengi uyafanyayo na uyateteayo lakini sasa naona unataka kuboronga. Naomba usimalize vibaya na kujivunjia heshima yako ambayo sisi vijana tulikuwa tunakupa. Vinginevyo tuwe tulikujua tofauti na ulivyo lakini bila shaka najua uliteleza.
Hatuwezi ruhusu kila kitu kwa kigezo cha haki na maamuzi binafsi ya mtu. Embu fikiria kama tukiruhu mambo unayoyatetea unadhani nini kitatokea. Embu fikiria turuhusu Mtoto wa kike alale na Baba yake mzazi unadhani utu wa mtu utakuwa wapi. Kisa tu ni mambo binafsi ya watu. Embu fikiria mtu afanye mapenzi na mnyama unadhani utu wa mtu utakuwa wapi. Embu fikiria sasa hivi hapo wewe utembee na mwanao wa kiume eti kisa tu ni haki na mambo yako binafsi unadhani utu wako utakuwa wapi.
Kujua sheria kusikufanye ukavuka mipaka ya asili. Ukavunja kanuni za asili ambazo zimewekwa na Mungu(sio kwa umuhimu).
Tunahitaji wanawake kama ninyi mpiganie mambo ya msingi. Mambo kama Haki za wanawake, haki za watoto, na mambo mengine. Lakini si kutetea ujinga na upuuzi.
Kujua sherias sio kutetea Uovu na kudhalilisha utu wa mtu. Nilitegemea Mama kama wewe ungetumia muda wako kutoa elimu za kisheria na matamko makali ya kuonya kuhusu tabia za ushoga na usagaji. Ukiwa kama Mzazi wengi wangefurahi kukuona ukiwashauri wadada wanaotupa picha za uchi mitandanoni waache kwani wanadhalilisha jinsia ya kike ukiwemo wewe.
Lakini matokeo yake umepuyanga na kuteleza katika utelezi wa kimagharibi. Sikulaumu wala sikushutumu kwa ulilolitenda kwani najua huenda uliteleza. Nitakulaumu endapo hutafuta kauli yako. Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Maliza vizuri kwa heshima. Wewe si binti tena mpaka uongozwe na mihemko hivyo busara ikutawale umalizapo zamu yako.
Heshima uliyonayo ni kubwa kwenye jamii ndio maana hata Ukachaguliwa na wanasheria wenzako kuwaongoza kwa mwaka huu. Hii ilitosha kukufungua akili jinsi Watanzania wanavyokuheshimu. Sasa unapofanya mambo haya kiukweli unanipa mashaka mimi na wengine wenye akili za mfano wangu ambao bila shaka ni wengi.
Hatukusoma ili tuudhalilishe utu wetu. Hatukupata nafasi za juu ili tuifanye jamii yetu kuwa ya kinyama. Mambo ya hivyo tuwaachie mataifa mengine. Kama yupo anayependa mambo hayo tutamsaidia kumpa uhamisho aende akaishi huko ili afanye bila shida.
Hata hivyo serikali ni kama imepoa sana kiasi kwamba inaachia baadhi ya mambo yaenda kiholela. Udhalilishaji wa kina mama umekua kwa kiasi kikubwa. Sasa naona unahamia kwa wanaume.
Nilitamani kusikia wanasiasa, wanaharakati, na viongozi wa dini wakipinga mambo haya kwa nguvu zote. Ushoga na kutuma picha za uchi mitandaoni. Lakini Mhe. Fatuma umeingia katika kundi la wanaowatetea. Haki ndio wanayo lakini si katika taifa hili. Kama unawaonea huruma basi iombe serikali ikupe ruhusa uwahamishia katika nchi zinazokubaliana na mambo hayo
Mhe. Fatuma Karume, ni matumaini yangu kuwa Andiko hili hutoshindwa kulielewa hakika. Nafahamu unahekima ambayo haitashindwa kuona mahali ulipokosea. Muungwana hukubali maonyo bila kujali anaonywa na nani. Usiwavunje moyo vijana wanaokuchukulia kama Role model wao.
Ikufikie ulipo.
View attachment 920312View attachment 920312
Unampa ushauri wakati asili yake muarabu kwake ni somebody business analeta upwani bara yaani ndo maana half cast ni cast spicies sehemu nyingine za ulimwengu .....kasoma sheria za ulaya analeta tanzania kama ni mwanasheria wa vyuo vyetu ataelewa sheria zetu haziruhusu ushoga ndo utamaduni wetu bana ....labda hukupita school of law ya TZ baada kurudi shule yake ya UK
 
Huyu dada anatafuta kiki kwa nguvu sana kumtetea Amba rut kama angekuwa kafanya bahati mbaya sawa lakini amba rut amepost video nyingi sana akifanya mapenzi kwenye mitandao tena akiwa na hiyo shoga walieshtakiwa Naye wakibanduliwa pamoja . Huyu karume simpendi kwa sababu amekula bata sana kwenye familia yao sasa na baada ya kukosa teuzi serikalini anajifanya mwanaharakati . Lakini kwa hili aidha fatma msagaji au anatumika kuvuruga watu.
 
Pamoja na kwamba siupendi ushoga but nakubaliana na Shangazi, watu wazima wakiamua kufanya mambo yao chemba let them..
 
Anicet mchomvu,
Swali jepesi ni MWANAUME akileta posa kwao ili KUMUOA mtoto wake wa kiume atakubali? Au mwanamke aje kumposa mtoto wake wa kike je atapokea mahari ili mtoto wake wa kike akasagwe na mwanamke?
Kuna mtu ana hack accounts za watu humu? Mbona mimi sikuita mtu yoyote mods mnaniwekea kama nimemquote mtu?
 
FATMA KARUME NI JASIRI.

KAZUNGUMZA UKWELI MCHUNGU WANAFIKI WAMEBAKI KULIA LIA LAKINI GIZA LIKIINGIA WANAKALIA MAJITI YA NYUMA.

GO GO GO FATMA!
 
Wewe ni moja ya wanawake wenye elimu nzuri. Mwanamke jasiri na mwenye uthubutu wa kuongea jambo lolote ukiliona halijakaa sawa. Elimu yako na sifa zingine lukuki ndizo zimekupa heshima kubwa kwenye jamii ya kitanzania.

Nafahamu wewe ni mwanasheria na una uelewa mpana kuhusu fani hiyo. Unajua kuwa sheria zipo kwa ajili ya kuifanya jamii iishi kwa amani bila kuvunjiana haki za watu. Lakini pia unaelewa kabisa zipo haki ambazo mtu huweza kuzidai ambazo zitauvua utu wa mtu na kudhalilisha watu wengine.

Mimi ni miongoni mwa watu ninaopendezwa na mengi uyafanyayo na uyateteayo lakini sasa naona unataka kuboronga. Naomba usimalize vibaya na kujivunjia heshima yako ambayo sisi vijana tulikuwa tunakupa. Vinginevyo tuwe tulikujua tofauti na ulivyo lakini bila shaka najua uliteleza.

Hatuwezi ruhusu kila kitu kwa kigezo cha haki na maamuzi binafsi ya mtu. Embu fikiria kama tukiruhusu mambo unayoyatetea unadhani nini kitatokea.

Embu fikiria turuhusu Mtoto wa kike alale na Baba yake mzazi unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Kisa tu ni mambo binafsi ya watu. Embu fikiria mtu afanye mapenzi na mnyama unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Embu fikiria sasa hivi hapo wewe utembee na mwanao wa kiume eti kisa tu ni haki na mambo yako binafsi unadhani utu wako utakuwa wapi?

Kujua sheria kusikufanye ukavuka mipaka ya asili. Ukavunja kanuni za asili ambazo zimewekwa na Mungu(sio kwa umuhimu).
Tunahitaji wanawake kama ninyi mpiganie mambo ya msingi. Mambo kama Haki za wanawake, haki za watoto, na mambo mengine. Lakini si kutetea ujinga na upuuzi.

Kujua sherias sio kutetea Uovu na kudhalilisha utu wa mtu. Nilitegemea Mama kama wewe ungetumia muda wako kutoa elimu za kisheria na matamko makali ya kuonya kuhusu tabia za ushoga na usagaji. Ukiwa kama Mzazi wengi wangefurahi kukuona ukiwashauri wadada wanaotupa picha za uchi mitandanoni waache kwani wanadhalilisha jinsia ya kike ukiwemo wewe.

Lakini matokeo yake umepuyanga na kuteleza katika utelezi wa kimagharibi. Sikulaumu wala sikushutumu kwa ulilolitenda kwani najua huenda uliteleza.

Nitakulaumu endapo hutafuta kauli yako. Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Maliza vizuri kwa heshima. Wewe si binti tena mpaka uongozwe na mihemko hivyo busara ikutawale umalizapo zamu yako.

Heshima uliyonayo ni kubwa kwenye jamii ndio maana hata Ukachaguliwa na wanasheria wenzako kuwaongoza kwa mwaka huu.

Hii ilitosha kukufungua akili jinsi Watanzania wanavyokuheshimu. Sasa unapofanya mambo haya kiukweli unanipa mashaka mimi na wengine wenye akili za mfano wangu ambao bila shaka ni wengi.

Hatukusoma ili tuudhalilishe utu wetu. Hatukupata nafasi za juu ili tuifanye jamii yetu kuwa ya kinyama. Mambo ya hivyo tuwaachie mataifa mengine. Kama yupo anayependa mambo hayo tutamsaidia kumpa uhamisho aende akaishi huko ili afanye bila shida.

Hata hivyo serikali ni kama imepoa sana kiasi kwamba inaachia baadhi ya mambo yaenda kiholela. Udhalilishaji wa kina mama umekua kwa kiasi kikubwa. Sasa naona unahamia kwa wanaume.
Nilitamani kusikia wanasiasa, wanaharakati, na viongozi wa dini wakipinga mambo haya kwa nguvu zote. Ushoga na kutuma picha za uchi mitandaoni.

Lakini Mhe. Fatuma umeingia katika kundi la wanaowatetea. Haki ndio wanayo lakini si katika taifa hili. Kama unawaonea huruma basi iombe serikali ikupe ruhusa uwahamishia katika nchi zinazokubaliana na mambo hayo

Mhe. Fatuma Karume, ni matumaini yangu kuwa Andiko hili hutoshindwa kulielewa hakika. Nafahamu unahekima ambayo haitashindwa kuona mahali ulipokosea. Muungwana hukubali maonyo bila kujali anaonywa na nani. Usiwavunje moyo vijana wanaokuchukulia kama Role model wao.

Ikufikie ulipo.
View attachment 920312
Hili swala la Ushoga ni ngumu sana kulishinda kwa vita ya Damu na nyama /kibinadamu. Hapa inatakiwa Tumuombe Mungu sana awez kutuepusha na janga hli. 2tashinda Ushoga kwa kusal na kufunga. Kilio cha wengi Mungu atajibu kwa wakati 2
 
Shangazi wa taifa anayeshawishi maadili ya ushoga!? haiwezekani ikawa ni Tanzania hii
 
Back
Top Bottom