Okay,
Kama hoja ni uhuru wa kutowabugudhi.
Upo tayari mwanao wa kiume / Kike kuingia katika 'same sex marriage' au wanao au ndugu yako wa damu kuwa homos kwa kuwa ni uhuru wa miili yao?
Je wewe upo tayari mfano ku 'grant civil partnership' = to allow same sex couples to acquire similar rights as heterosexual couples?
Kufumbia macho eti 'miili yao watajijua', hainihusu Mimi, ndo kiliwafanya kizazi cha Sodoma na Gomorrah kuteketezwa wote.
It has to be condemned by every person of a sound mind.
Kwa wakristo haipo kwa amri zile kumi lakini ni kufuru kubwa sana katika dini na hata babu zetu kabla ya hizi imani kuja katika jamii zetu watu wa hivyo hawakutakiwa na wala hawakusubiri sheria hizi mnazolalamikia kwa haziendani na kosa.
Anyway, watu wa kutetea haki za binadamu najua mpo kazini, lakini hizo mambo hata nafsi zenu siku moja zitawasuta.
Nakubali kutokukubaliana nawe katika hili.
Punguza jazba,
Twende Hoja kwa Hoja.
Vitu vingine havihitaji kushupaa na kupayuka kama hayawani.
Mimi kumtetea Shangazi kutumia Haki yake stahili ya kutoa maoni au kuwa na misimamo fulani hakumaanishi kuwa nachochea na kushabikia anachokiamini.
Yeye anayo haki kutetea anachoamini ni sawa kama wewe na mimi tufanyavyo sasa.
Si sawa na uungwana kukutukana kwa kuamini katika kile unachoamini wewe kuwa ni sahihi,
Hivyo hivyo kwako wewe kwangu.
Upendapo kujua msimamo wangu;
Sipendezwi na Usodomi lakini hiyo hainifanyi nione kuwa hao watu hawana Haki ya kulindwa na Sheria na hivyo wabaguliwe kama raia wa nchi hii lakini pia kama Binadamu huru katika Dunia hii ambao hawako sawa na wengine.
Wengi wa hawa tunaowaona na kuwanyanyapaa wamezaliwa na kasoro za kibaolojia,-Alaumiwe nani hapo?
Je, Tuwachome moto?
Nikujibu Hapo kwenye Kidhungu chako:
A sane mind,
As you self-proclaimed,
You should at least be rational,
Righteous, Non-judgemental and Indiscriminate.
People with healthy brains simply call this 'Leave and let live' stand.
Btw;
Mimi si mwanaharakati wala Wakili wa vuguvugu lolote kama unavyodhania,
Na hiyo hainifanyi nishindwe kutoa maoni yangu popote na katika lolote.
Upo?