mkaza vema
Member
- Apr 28, 2013
- 68
- 22
Hana lolote hajafikia hata videsa vyangu..
kwa mtazamo wangu sio lazima uone hadi ndani, isipokuwa mtoa hoja alipaswa kutuwekea picha kamili ya huyo "mzuri" kwa maana ya maumbile yalivyo, side views, front and back view akiwa na vazi lake, kisha tuamue kama kweli ndie mzuri kuliko wote, ingawa hiyo nayo haitoshi, tungepata watu kama wanne watano walioshiriki nae mahusiano ya tendo, kutupa ulinganifu wa sura yake na umbo lake pamoja na miscelleneous zingine ambazo wengi wetu hatuwezi kuzijua! haiwezekani maoni ya mtu mmoja kutuaminisha wote kuwa huyo ndio mzuri kuliko wote ulimwenguni!!!!!!! doubt is better than overconfidence- it leads into more inquiries....Kwani uzuri wa mwanamke ni kitu gani? kam sio uso? unataka mpaka uone kwa ndani?ili iweje Mkuu?
Tabia ni neno pana sana mkuu huwezi kujaji tabia zake kwa mtizamo wa tamaduni za kibongo! Hapa utataka akuamkie shikamoo kila siku ndo uone anatabia nzuri, mara akupigie magoti kama anatoka Mbeya ndo kabisa mtaona anatabia nzuri! Kinachosifiwa hapa kwa uzuri wake ni mwonekano halisi wa mwanamke huyo kwa vigezo vya jumla ikiwa ni sura yake na urembo wake mkuu, siyo tabia!!!TAbia yake vipi huyu dada!!
TAbia yake vipi huyu dada!!
Kwani uzuri wa mwanamke ni kitu gani? kam sio uso? unataka mpaka uone kwa ndani?ili iweje Mkuu?