Iron Lady mbona una sifa kama za mke wangu au ni wife wangu umeanza kuingia humu JF?
kwikwiiwiwi yaweza kuwa tutaulizana home kama kweli mi wako tutajua. sasa shida ukienda mwambia mkeo ukidhani ndio mie halafu nikawa siye.
Aaa my Dear !! Mmh .... Nafikiri ilikuwa mashindano ya Uso mzuri na si mashindao ya hulka !! take it easy!!TAbia yake vipi huyu dada!!
Ahsante Mpendwa; Kweli alichaguliwa kwa wakati maalum na event Maalum kesho watakuja Wengine wapya na Wazuri.Jamani mchawi tumseme ila sifa yake ya kupaa na ungo tumpe.
Ni mzuri ila sio dunia nzima sbb wazuri tupo wengiiiiiiiiiiiiiiiiii na wengine kila kukicha wanazaliwa.
Kwani uzuri wa mwanamke ni kitu gani? kam sio uso? unataka mpaka uone kwa ndani?ili iweje Mkuu?
Ningekuwa nimelelewa kinanihii ningeweka picha ya mke wangu hapa tulinganishe nani mzuri,
Lakini nasema huyu mzuri lakini hamfikii my wife mama chanja
Wacha wee! Wacha kabisa wee! Eeeeee?mimi mwenyewe mzuri mno wa sura umbile,tabia mienendo moyo ulio safi na wenye huruma na akili na busara tele ndio maana mume wangu haniachi na kila siku ndio anazidi kudata kabisaaaa