Fastjet ni jipu

Fastjet ni jipu

hata ukifumania mke utamuita magufuli aje ampe talaka. ulizani ndege ni saibaba



Jumatano ilikuwa mzee asafiri tukawa tumeshamkatia tiketi ila kwa bahati mbaya tukapata msiba ile kuomba kubadilishiwa tiketi kusogeza mbele gharama ikawa kubwa kuliko tiketi mpya

Tukakata tiketi mpya ya kuondoka leo

Leo mzee alipaswa kuondoka sa nne na dak kumi asubuh tukafika pale Airport na akaingia cheking! Pale akarudishwa mara tatu mzigo wako ulikuwa na pafyum na kachuma kadogo eti alipofanikiwa kupita mbele wakamrudisha kuwa kachelewa dak mbili

Kuwaeleza amecheleweshwa na walinzi wakagoma na hapo ni sa 3 na nusu inamaana bado dak 40 nzima ndege iondoke

Mzee akarudi nje baada ya kuelekezwa aende ofisi za kampun anayotaka kusafiri nayo ili wao ndo wampeleke pale apitishwe

Kufika ofisi ya fastjet pale eti wanagoma hawana nafasi ya kutoka hivyo mzee akate tiketi nyingine

Nilijikuta nawatukana matusi mpaka nikaondolewa na walinzi

Mtu yupo palepale uwanja wa ndege na bado muda wa kuondoka ndege anazuiwaje kuingia???

na hizi pesa tulizomkatia mzee mara mbili anashindwa kusafiri nani anazila?

Magufuli tusaidie hili jipu
 
PMM naelewa concerns zako, ila kama nilivyojaribu kuainisha tatizo ni la washindani dhaifu. Kama wako makini na huo upotoshaji wa fastjet wangetumia huo mwanya kwa kupata abiria zaidi na kuishikisha adabu fastjet. Tatizo bado fastjet ni reliable kuliko hao washindani wake otherwise huna haja ya kununua tiketi zake. Swala la kuchelewa na cancellation ya ticket yako ni muhimu watu wakaelewa kuwa hiyo tiketi ina masharti magumu na inakuwa ghali ukikiuka masharti hayo iwe kwa bahati mbaya au kupenda! Hivyo jiulize mara mbili kabla ya kukata tiketi yao na kujidhihirisha kuwa utamudu masharti yao. Kuwa budget au kutokuwa budget ni swala la ushindani na wewe mlaji kuamua unafaidika vipi na hao budget ukilinganisha na conventional business model!
Mi najiuliza sana, ukiahirisha safari kwa mashirika mengine kama Quatar airways, Emirates, Kenya Airways na mengine gharama yake ninkama usd 50 wakati huo tiketi ina gharimu kama usd 1000 na zaidi. Sasa kwa hawa jamaa safari ya nusu saa tu wanakuletea mizengwa kama vile wana mashariti yankishirikina yasiyovunjwa!
Hata airport kubwa abiria akichelewa huitwa na jamaa utawasikia wakihangaika sana kumpata maana wanajua thamani ya mteja. Hawa fast jet ni wezi tu na yawezekana wanabebwa na mikono ya mafisadi
 
Kwa msaada zaidi peleka malalamiko yako FAIR COMPETITION COMMISSION UBUNGO. This are industry regulators and consumers protectors. Usisubiri magufuli afanye kila kitu wakati kuna waliopewa majukumu hayo.. fanya nilivyokuambia utaona matokeo yake

I agree fastjet are comen. Their fare structure is very deceptive, not flexible and not transparent. Kama huna uhakika wa tarehe na muda wa kusafIri panda Precession Air, fastjet watakumaliza kwani hiyo nauli rahisi wanayotangaza wanalipizia kwenye alteration. Fair competition commission do something about this company practices.
 
I agree fastjet are comen. Their fare structure is very deceptive, not flexible and not transparent. Kama huna uhakika wa tarehe na muda wa kusafIri panda Precession Air, fastjet watakumaliza kwani hiyo nauli rahisi wanayotangaza wanalipizia kwenye alteration. Fair competition commission do something about this company practices.
Commission will not do anything till complaint is lodged by Complainants! Mara nyingi naona ndo utaratibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom