mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,054
Ukiangalia kwa uhalisia sasa hivi Fastjet hawana bei nafuu nimewahi kupoteza ticket ya 245,000/- Safari ya kwenda tu Dar-mbeya(one way) baada ya kuchelewa ticket ikawa imepotea ukiangalia wanatudanganya sana.
Tofauti na Precision Air kipindi cha nyuma nilikata ticket 195,000/- baada ya kuchelewa nilichajiwa gharama ya 60,000/- kama gharama ya kuchelewa na kubadilisha ticket ambayo kimsingi niliiafiki .
Lakini hili la fastjet kucharge gharama kubwa alafu ticket hauwezi kubadilisha kwakeli wanatuibia sana.