Fastjet ni balaa.......

Mambo ya Fastjet ,Jana kuna rafiki yangu ametoka dar ,kushuka pale KIA dUH..alidhani yupo UBUNGO BUS TERMINAL ... Cha kufurahisha nusu walioshuka walikuwa wanaulizia bodaboda maarufu kama (TOYO) zinapatikana wapi...

Hawa hapa, utafkiri wanagombea daladala la Mbagala

189885_461522623883454_898733429_n.jpg
 
hakuna kitu....jana nimeenda kufanya booking ofisini kwao.....hakukuwa na hata sehemu ya kuweka mguu....harufu ya jasho tu imejaa jinsi watu walivyo wengi......shida ya nini.....PW ndio mambo yote....labda baadae sana ila kwa sasa......am soreeeeee.........

Wala hawajazi sana, ona hapa

481678_460366927332357_807469351_n.jpg
 
Hiyo ni mbinu ya biashara,subirini watakapowatoa wengine njiani na kukamata soko vizuri ndio mtakapowajua..
 
Back
Top Bottom