and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,306
- 39,850
Kampuni ya uingerezaMleta mada nakupa pole Kama bado unapanda hiyo basi ya angani,
Nimepanda mara kadhaa kwenda South Africa yaani utafikiri nipo kwenye basi tu, kila kitu kinauzwa ndani ya ndege yaani hakuna utofauti utadhani Sio international route
Kiufupi fastjet si ndege ya kupanda labda waboreshe management yao ya sasa hivi la sivyo itafikia hatua watu hawatapanda kabisa ndege zao.
Mjirekebishe fastjet nyie ni kampuni ya nyumbani tunawategemea mfike mbali na kutanua anga za kuvuka Africa
Hawa hawakuanza leo mbona???Duniani usafiri wa ndege ni usafiri salama na wafanyakazi wake ni watu wenye weledi wa hali ya juu na kumjali mteja, lakini ghafla shirika hili la ndege (Fastjet) wameamua kwa makusudi kuingiza uswahili katika biashara hii ikiwemo KUAHIRISHA/KUFUTA SAFARI bila taarifa za mapema, kuchelewa kupokea simu ya huduma kwa wateja (+255784108900) na kutokutoa majibu sahihi kulingana na tatizo la mteja, lugha mbovu kwa wateja. Naiona Fastjet kama kampuni ya daladala kwa sasa. Mnaboa.