Fastjet, mkiendelea na tabia hii, mtapoteza wateja

Fastjet, mkiendelea na tabia hii, mtapoteza wateja

Acha kupanda tuone utapanda nini ilhali ndo uwezo wako wa hilo daladala

Wanatumia shida, matatizo na umasikini wenu kama kipato.
 
Hifadhi za jamii zikiboronga unaweza kuziripoti SSRA sasa na haya mashirika ya ndege yakiboronga hao mamlaka ya usafiri wa anga wanafatilia kweli? Maana fastjet na hao 3Gdirect pay ni partners in crime. Hawarudishi pesa za watu in time booking ikibounce. Poor credibility
 
Fastjet boresheni huduma mnabeba maisha ya mamilioni ya watu
 
hii easy sana..si majuzi tu mtu kashinda kesi dhidi yao kwa kosa hilo hilo, kapata nauli yake aliyolipa fastjet, nauli aliyolipa kwingine kama sijakosea na compensation ya usumbufu. Mahakama zipo, ni wewe kuzifuata tu na kuwa mvumilivu kwa kuwa hapa bongo speedy trial ni kwa kesi za wakubwa tu. Kama wewe wa kawaida kama mie, uvumilivu unahusika.
 
Hivi miezi miwili si imeshapita?hizo ndege za ATCL ziko wapi tunufaishe taifa letu?
 
Mie nilikuwa natoka mwanza last week, nilipokuwa kwenye ndege nikaagiza maji ya kunywa, nilitoa elfu tano na walibidi wanirudishie 3000 sasa yule mhudumu ananiambia hawana chenji so nichukue na keki. Seriously nilikasirika nikamwambia akae nayo tu akaanza kunilazimishia kitu cha kuongezea nikamwambia mie nilihitaji maji tu. Mpaka nashuka sikurudishiwa chenji nami nilimsamehe tu maana alikuwa anaongea nami as if nilikata ticket ya laki moja though kila abiria anastahili huduma nzuri.

I have to admit that, fastjet huduma yao ni mbovu sana na wameajiri watu ambao wengi wao hawajielewi nadhani. Wanapaswa kuwapeleka training fupi kila mara nadhani
 
Nawadai chenji yangu tangia majuzi,nimetoa elfu kumi nikachukua bia elfu sita eti chenji wanazungusha mpaka mwanza kimyaaaa
 
hahaha aisee inabidi uwe unauliza kwanza chenji ipo?? ndio utoe hela [emoji23]
 
Wahuni wale hawachelewi kuwa buku kumi halafu waseme mkagawane mbele kwa mbele
Inasikitisha kusikia huduma hasi kwenye Kampuni iliyobeba nembo ya TZ. Hawa ATCL tunaoambiwa wako mbioni wayaangalie maoni ya WATEJA wasafiri wa mara kwa mara kwani watakapoingia wateja ndio hawa hawa.
 
Katika maisha vitu vya bei rahisi vinaambatana na karaha wakuu,uvumilivu anatakiwa.
 
Hiyo kampuni nipo mbioni kuachana nayo kabisa hawajali wateja
 
Back
Top Bottom