CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
CHUAKACHARA that's a big lie
Kama kweli umetembea ungepaswa kuwa unajua kwamba usafiri wa anga (kwa abiria) ndio nafuu zaidi huko duniani. Nauli za Ryanair, Easyjet, American Eagle/Express unaweza kuzipata hata hapa kwenye mtandao.
Kuna nauli za Paundi 18 (sh 45,000).. Bristol (UK) to Barcelona (Spain)
Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba kwenye low cost airlines mizigo yote hulipiwa isipokuwa mzigo wa mkononi.
Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba ukinunua tiketi mapema utalipa hela kidogo kuliko ukichelewa ingawa wote tutakaa seat zilizopakana.
Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba meal and refreshments aboard low cost airline unalipia na unalipa haswa.
Sipendi nyie mliotembea dunia hii (kama Mkuu) kutufanya sisi tulobaki huku nyumbani tusojua kila kitu kisa hatujafika huko duniani mnakoendaga...
Kwa taarifa yako fastjet wameanza kuruka kuna wenye kulipa sh 86,000 na wenye sh 135,000 wengine sh 160,000 DARMZADAR kwenye ndege hiyo hiyo..
Kuanzia sasa napiga jaramba kukwea fastjet kitu 24 December,,,,nikishazoea kupanda ndege za hapa ntajaribu huko mnakoendaga nami nikapaone........
Congrats bt u need to extend ur flights to other cities like Mbeya
Ndugu zangu, naomba number za simu za Fastjet nifanye booking. Tafadhali mwenye nazo nisaidie.
Ndugu zangu, naomba number za simu za Fastjet nifanye booking. Tafadhali mwenye nazo nisaidie.
Has made its first commercial maiden flight today.
We are hopeful!
Usafiri June? Nafasi zimejaa hadi June 27, kwa hiyo panga safari yako kuanzia tarehe 28.
hizo za mpaka june 28 ni kwa zile bei za tsh 32,000/= ila zile ticket za tsh 200,000/= zipo na zimejaa teleee...ukiwapigia wanasema zile za 32,000/- ni special offer kwa wateja wa 5 wa kwanza..
kwa bei yao hiyo mpaka wamachinga wataweza kupanda ndege sasa...mbona airport itakua ni kazi kutakavokua kumejaa kila siku..
Low cost African airline FastJet has confirmed it will have its first airbase in Tanzania. The airline will commence flying in November with seats going on sale online a few weeks earlier.
Pia isije kuwa ni majeneza yanayopaa,baado nina tashitwiti kidogo,lakini tuombe Mungu tukiamini wakaguzi wa ubora wa ndege wameifanyia ukaguzi naamini watakuwa wametanguliza maslahi ya wananchi na rushwa imewapitia mbali.Pia kama kila kitu sawa basi huo ni ukombozi hasa baada ya Precison na 540 kutunyanyasa sana kwa bei zao,nasubiria safari za kwenda kukaja MbeyaHizo ndege zao zina kiwango? Kwa mwenye picha atujuze at least tuone hivyo vi-ndege vyao visije kuwa ni size ya njiwa tu
Huu nao naona utakuwa ni msamiati MPYA eeh!!? Ukimaanisha ajali...Itasaidia sana kupunguza vifo vya kisharobaro..
Mmmh, huku nako ni wapi MKUU, ni Tz nako?!Ujio huu wa Fastjet utatufanya tufumaniane sana na wake zetu ,maake utashtukia mtu kaingia ghafla hata kama uko Litumbanjosi