Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.
Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.

Acha kubeza, FJ imekuwa msaada mkubwa sana kwa wasafiri hapa nchini, bila shaka hata wewe ndio ndege yako ya kwanza kupanda..Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.
Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.
Wengi hawajui hilo. Mie huwa nashukuru shida ya ndege ikitokea nikiwa ardhini. Sitakaa nilaumu kamwekucancel rout kuna sababu yawezekana ndege ni mbovu. ulitaka utangaziwe na rubani ukiwa juu angani kuwa ndege ina hitilafu?
Huyu ni mpuuzi, fastjet imetusaidia wengi. Tangu ije sijawahi kwenda Mwanza kwa basi! mpaka leo. Anadhani ATCL watakuwa hawana doa katika kutoa huduma zao.Acha kubeza, FJ imekuwa msaada mkubwa sana kwa wasafiri hapa nchini, bila shaka hata wewe ndio ndege yako ya kwanza kupanda..
Kuna tetesi kuwa FN watapunguza route za kwenda Mwanza badala ya 4 zzitabaki3
Zilikuwa nne kwa siku au
Wengi hawajui hilo. Mie huwa nashukuru shida ya ndege ikitokea nikiwa ardhini. Sitakaa nilaumu kamwe
Kumbe umesafiri kwa ndege... Basi SawaNdege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.
Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.