and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,106
Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.
Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.
Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.
Ndugu zanguni Fastjet badilikeni
Trip 1 hr jitu linataka kula wali,soda mara bia hivi mngesafiri 20 hrs angani nyie si mngekufa kwa kula.
panda ET safari ndefu ujute kuzaliwa.mimi nilishawahi kusafiri na ndugu zangu toka taifa teule la somalia aisee walikuwa wanajjammba njia nzima Johannesburg to Dar zaidi ya masaa 3 mtu anashusha harufu ya samawiti/chanikiwiti, ndege ilikuwa imejaa vinginevyo ningehama siti
Dah!sie wengine ndege tunaziona tu angani hata huduma zipatikanazo humo sizijui!!Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.
Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.
Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.
Ndugu zanguni Fastjet badilikeni
Inabidi wawalipe vizuri,hii ndio sababu kubwa ya kubana maslahi kwa wafanyakazi.Hayo ya chenji yamenikuta humo, nilisamehe buku mbili bila kupenda, fast jest jiongezeni bana!
Kiingereza cha nn ukiteka nenda CNN we jali kufika ,Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.