Fast Jet kusitisha safari za Dar-Entebe, Dar-Nairobi, Kilimanjaro-Nairobi na Kilimanjaro-Entebe

Kwa hali ya kiuchumi ilivyo kwa sasa ndio nafasi nzuri ya makampuni mengi ku declare loss na hivyo kukwepa kulipa kodi. Vile vile mengine mengi yatatumia mwanya huu kubabaisha bank walizokopa kwa marejesho
 
Halafu wapiga zumari wanaimba hapa kazi tu yaani Leo tunaonekana sawa Na Zimbabwe. Sasa hizi pangaboi ambazo zinakazi ya kuwasubiria wanasiasa zitaweza kukizi mahitaji kweli ya abiria yaani sasa Bora ukomae Na ngorika tu la kwanza kuliko pangaboi maana unaweza kukaa masaa anasubiriwa mweshimiwa Fulani
 
Back
Top Bottom