Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,993
Wengi wao huenda kwa magari yao binafsiKhaa! Siamini kama hadi Wachaga wameshindwa kuafford kwenda kwao kwa ndege!
Wengi wao huenda kwa magari yao binafsiKhaa! Siamini kama hadi Wachaga wameshindwa kuafford kwenda kwao kwa ndege!
Vyombo vya serikali na umma huwa vipo very slow linapokuja suala la fast decision making when an opportunity comes...!!
Anyway ngoja tuone ATCL watakavyo respond.
Anakwambia wewe ni mpiga dili. Hii kauli inaboa sana kusema ukweli, iweje wote tuonekane wapiga dili wakati hata sijui hayo madili yanapigwa wapi na vipi lakini nataabika kwa kuozewa na matikiti yangu hapa sokoni.Nihatari sana alafu unamwambia mtu kunamdororo wakiuchumi anakwambia hakuna Hapa kazi tu
Mtukufu hakulijua hili. Anadhani ndege inapandwa kama daladala za mbagalaWateja wengi walikuwa watumishi wa serikali....
Hizo ruti ni za ATC,lakini kwa kuwa wamerudi imebidi waziachie tu dada hakuna jinsi.Hata KQ zile safari 49 kwa wiki asilimia 70 ni za ATC,nao utaona tu wanaachia ruti kwa ATC ,hakuna jinsiTanzania na Zimbabwe ndio zinaitia hasara FastJet, kutokana na uchumi wa nchi hizi mbili kukumbwa na misukosuko sana, wanaweza wakaondoka soon
Sasa ruti zenye traffiki kubwa kama Dar- Kilimanjaro , na Dar- nairobi zinafutwa ujue kweli biashara ya ndege imekuwa bomu haswa haswa
Is this the same airline that orgasmic about denial of operating license by kenya?