Fasheni nyingine za ajabu!!!

Fasheni nyingine za ajabu!!!

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
1478861756401.jpg
 
Nimempenda bure mwenye namba yake please anipatie! hana makuu, hana mpango wa kutegemea mitumba kutoka kwa Trump
 
pia hana dalili ya kibamia
hahahahah shida sasa umkute ana tango au ndizi Bukoba halafu sio mbunifu wala hana mautundu kwenye sita kwa sita mbona midomo itakukauka! hahahahahahahahahahahahahahah
 
Kushona sio issue,swala hapo ni je kuna hewa ya kutosha kwa ajili ya mwili?
 
Hii style nilivaa disco welcome form five Mwenge sec mwaka 1999
 
Back
Top Bottom