Asante tembo amita.Mbona kuna simba Serengeti anaitwa Namanga
Pia kuna madume wawili mmoja anaitwa c boy na mwingine anaanziwa na H ni makaka
Ingia YouTube uangalie documentaries utawajua vzr
Asante tembo amita.Mbona kuna simba Serengeti anaitwa Namanga
Pia kuna madume wawili mmoja anaitwa c boy na mwingine anaanziwa na H ni makaka
Ingia YouTube uangalie documentaries utawajua vzr
Haaa...na hapa umefanyaje mkuuLeo sichangii Uzi wowote!
Ohoooooooooo!wanaangaliaga vigezo gani kuwapa hao faru majina?? au huyo faru nae anawapiga wenzie bakora za kichwa??
Hivi faru John bado yupo au kafa?Faru lisu na faru mbowe wametoroka kabisa kreta haijulikani walipo.
Huyu Faru hata bungeni ameshaharibu kweli kweli.Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.
Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini huyu Ndugai kila wakati anapanda juu hivyo kuwafanya wahifadhi kupata shida kumrudisha ndani ya crater.
Ngiri bashite yeye ananenepeana tu makalio
Jamani jamaniNgiri bashite yeye ananenepeana tu makalio
hahaaa. mchango nini na hiki ulichoandika ni nini!Leo sichangii Uzi wowote!
Namtafuta FaruNdugaihahaaa. mchango nini na hiki ulichoandika ni nini!
cc. faru slim5!!!