Faru Ndugai ameanza fujo tena Ngorongoro Crater.

Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.

Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini huyu Ndugai kila wakati anapanda juu hivyo kuwafanya wahifadhi kupata shida kumrudisha ndani ya crater.
Ana akisi tabia ya jina!
 
Mbona hiyo simpooo!Hicho anachokifuata nje ya bonde aletewe ndani ya bonde! Mbona simpo sana jamani.
 
Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.

Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini huyu Ndugai kila wakati anapanda juu hivyo kuwafanya wahifadhi kupata shida kumrudisha ndani ya crater.
Loo, umenikumbusha alivyompiga pembe mpinzani wake kule Kongwa wakati wa uchaguzi mpaka akazimia, nasikia sasa ni marehemu.
 
Wanyama wengine nao wapewe majina jamani sio faru tu. Natamani kusikia nyoka john, fisi haruna, chura halima, nk.
Mbona kuna simba Serengeti anaitwa Namanga

Pia kuna madume wawili mmoja anaitwa c boy na mwingine anaanziwa na H ni makaka

Ingia YouTube uangalie documentaries utawajua vzr
 
Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.

Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini huyu Ndugai kila wakati anapanda juu hivyo kuwafanya wahifadhi kupata shida kumrudisha ndani ya crater.
Nashauri wamuue tu maana hakuna namna nyingine kama anazuiwa anarudi tena kila mara
 
Kweli watoto wa Form four wanafanya pepa. uzi za leo zina akili sana..... inabidi ufikiri sana ili uelewe........;)
 
Mwache azurure zurure tu huko juu akutane na huyu aliyeenda chadema na timu yake ataisoma namba.
 
Back
Top Bottom