Faru Ndugai ameanza fujo tena Ngorongoro Crater.

Sasa mnampa jina la Faru Ndugai mlitaka afanyaje?

Majina huumba

Mimi kuna kimbwa changu kimezaliwa ndio ataitwa Ndugai ili kawe kafala fulani
 
Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.

Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini huyu Ndugai kila wakati anapanda juu hivyo kuwafanya wahifadhi kupata shida kumrudisha ndani ya crater.
Huyu Faru hata bungeni ameshaharibu kweli kweli.
 
Ndugai ni kawaida yake kufanya fujo ashampiga mgombea mwenzake fimbo ya kichwa iyo jina ndo tatizo kule kwetu bukoba uwa wanasema Eibala libi lita nyinalyo
 
Back
Top Bottom