Faris Buruhani. Ateuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM Taifa.

Faris Buruhani. Ateuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM Taifa.

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,055
Reaction score
781
Taarifa za hivi punde ni kuwa mwenyekiti WA umoja WA vijana ccm mkoa Kagera ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa uvccm Taifa.

Hongera kwake.
1000582886.png
 
Mtetezi mkubwa wa haki ni lazima watokee watu wenye hofu ya Mungu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ambao watajali maslahi ya wananchi na nchi na si vinginevyo. Ambao watasema hapana,hii inatosha
 
Mtetezi mkubwa wa haki ni lazima watokee watu wenye hofu ya Mungu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ambao watajali maslahi ya wananchi na nchi na si vinginevyo. Ambao watasema hapana,hii inatosha
Hapo unamtetea huyo nduli au unajisemea tu na kunena kwa lugha?
 
Ukiwa mtekaji: Mwanachama mzuri wa CCM
Ukiwa muuaji: Mwanachama mzuri wa CCM
Ukiwa mropokaji: Mwanachama mzuri wa CCM
Ukiwa mwizi: Mwanachama mzuri wa CCM
Ukiwa Muongo: Mwanachama mzuri wa CCM
 
Huyu bwana aliwahi kukemewa na Nchimbi kwa kauli ile ya "...tukiwapoteza,polisi msiwatafute".

Halafu kuna watu wanazungumzia maridhiano ambayo kiuhalisia hayawezi kuwa na dhamira ya kweli.
 
Huyu bwana aliwahi kukemewa na Nchimbi kwa kauli ile ya "...tukiwapoteza,polisi msiwatafute".

Halafu kuna watu wanazungumzia maridhiano ambayo kiuhalisia hayawezi kuwa na dhamira ya kweli.
Ukitaka kuridhia na CCM, unatafuta kifo.
Tangu lini chama cha siasa kikaridhiana na chama dola?
CCM ni Dola sio chama cha siasa!
Huko mbele tuendako,watu wa kujitoa muhanga,ndio watakuwa msaada mkubwa kwa kuikomboa nchi na Watanganyika!
 
Back
Top Bottom