Farhia Midle mtangazaji wa ITV badilisha staili ya kubana nywele

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,743
22,452
FARHIA2.JPG
Habarini wakuu,

Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.

Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.

Nawasilisha
 
Vipi akifunga remba?
 
tuwekee picha mana ili jina sili sikii sikii kama wakina ufosalo
 
Habarini wakuu,

Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.

Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.

Nawasilisha
Ungeanza kwanza na Tulia Spa.
Huyu mama kipili pili chake kinaboa. Unajua huyu dada ni mrembo sana sema hayuko bize kujiweka kisista duu.
 
Habarini wakuu,

Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.

Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.

Nawasilisha
leo akirudi nyumbani ntamwambia
 
Kuna siku nilipata muda wa kuchezea nikaona nitumie kuangalia movie nilikua na mdada fulani wakati tunatizama ile sinema, katikati ya movie akasema mapazia ya nyumba kwenye movie mabaya. Nilishangaa na kuchoka. Wanawake huwa wanawaza nini! Ningeangalia peke yangu nisingeona kabisa yale mapazia. Mnaweza kuangali kitu kimoja ila mwanamke akaona kitu tofauti
 
wakati we unaangalia makalio mwenzako anaangalia 'unywele'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom