JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,450
- 2,498
Mim nampenda sana Irene Kilenga wa EFM ananikosha sana na umbo, na umbile lake hadi umbiko
Ukute Farhia mwenyewe hata hajaona huu uzi.Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel.
Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea kwenda kukaa kwenye kiti ili usome taarifa kamili.
Dah, waliokuzaa wanastahili pongezi kwakweli.
Muwe na usiku mnono!
Why Dina Marios jamani 🤣🤣Dina Marios Typing....
Kwamba mkuu hujaona lile zigo nachuroWhy Dina Marios jamani 🤣🤣