Fareed wa UAMSHO apingana na dereva wake

Hivi hawa watu wanaotekwa wana akili?
Mtu nisiyemjua hawezi kuniambia tukutasne somewhere peke yangu. Na mimi ni mtumwa masikini nisiyejulikana, sembuse mtu almaaruf.
 
Waislam hao uwongo sehem ya uislam
Absolutely.

2.jpg
 
Huyu sheikh anatafuta umaarufu wa bure tu, hana lolote kabisa. Namshauri, kama anaweza kulipata kaburi la osama angeenda pale akamuombe osama ampatie mbinu zake alizokuwa anatumia sio ujinga ujinga huu anaofanya jamaa huyu sheikh wa znz, ni mjinga kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hapa hata asiye naakili haambiwi ona usanii wake! Haya maamuma pigeni takbir basi! Wengine huyu faridi tulisha muona kuwa sehemu yake muafaka ni mirembe! hiyo kumuita shehe haikubaliki ni kuudhalilisha uislamu!
 
njia ya muongo ni fupi,hao walikula plan ili damu imwagike,sijui kwa serikali yetu inalea upuuz,wajifunze kama kenya wale wa MRC wanaotaka mombasa iwe nchi wanavyopukutishwa,hao awafai kuishi kwenye jamii yenye kutaka amani,furaha yao kuona damu inamwagika,wanatumia dini lakin sizan kama uislam unaruhu wanayofanya naona ni wao tu,wanasingizia dini
 
Wazanzbar hawajatambua kuwa hao waraabu wa Uamsho wanataka waurudishe Usultan, yan warabu. Kwahyo wataleta fitina ya kuwagawa na kuwavuruga mpaka kisiwa kibak cheupe, amken ndg zangu, Uongo huu unadhihilisha..!
 
Ni ASKARI WAWILI na siyo MAASKARI WAWILI waliopoteza uhai. Acha kiswahili chako cha shule za kata!

halafu mijitu mingine inaingia hapa eti serikali ya zenj ilimteka mtu aliyejifanya katekwa, kaamua kujificha ili kuharibu hali ya hewa. Hawa ni majambazi mimi nashangaa eti mpaka sasa hawajakamatwa. Kubukeni kuna maaskari 2 wamepoteza maisha kwa 7bu za ushinzi wa hawa jamaa, Hivi serikali impaka sasa haijamtia nguvuni?
 
Mimi penda sana wafuasi wa CHADEMA! Kwa ULIMBOKA wanataka dunia nzima iamini alitekwa na usalama wa taifa , Kwa FAREED wanatafuta kila sababu ili ionekana hakutekwa! Haya endeleeni na unafiki wenu, siku moja si mbali mtaumbuka!
 
mimi penda sana wafuasi wa chadema! Kwa ulimboka wanataka dunia nzima iamini alitekwa na usalama wa taifa , kwa fareed wanatafuta kila sababu ili ionekana hakutekwa! Haya endeleeni na unafiki wenu, siku moja si mbali mtaumbuka!

kwahiyo kila anyepingana na hila mbovu za waislamu kutaka kuvuruga amani yetu ni mfuasi wa chadema? Acha upimbi wewe kuna watanzania kibao hatuna vyama lakini penye ukweli lazima tuseme, huyu shekhe ubwabwa kajiteka ili apate umaarufu na wahuni wenzie wapate sababu ya kuleta fujo, mlivyo na akili mbaya mnamwita mwanaharakati.
 
... inawezekana dereva aliliona gari lakini sheikh farid hawezi kumsemea dereva,
He he hee! Naona wameshaingia kazini kuua noma, hizo probability za "inawezekana" za kazi gani wakati wote wawili maelezo yao yapo clear kabisa!
 
kwahiyo kila anyepingana na hila mbovu za waislamu kutaka kuvuruga amani yetu ni mfuasi wa chadema? Acha upimbi wewe kuna watanzania kibao hatuna vyama lakini penye ukweli lazima tuseme, huyu shekhe ubwabwa kajiteka ili apate umaarufu na wahuni wenzie wapate sababu ya kuleta fujo, mlivyo na akili mbaya mnamwita mwanaharakati.
Mbona naona wafuasi wa CDM tuu? Hao watanzania wengine wako wapi?
 
Mimi penda sana wafuasi wa CHADEMA! Kwa ULIMBOKA wanataka dunia nzima iamini alitekwa na usalama wa taifa , Kwa FAREED wanatafuta kila sababu ili ionekana hakutekwa! Haya endeleeni na unafiki wenu, siku moja si mbali mtaumbuka!
Tafuta matukio ya kulinganisha yanayoelekeana, siyo busara kulinganisha tukio la Dr. Uli na la Shehe Fareed!. Kuwa na aibu kidogo.
 
kwahiyo kila anyepingana na hila mbovu za waislamu kutaka kuvuruga amani yetu ni mfuasi wa chadema? Acha upimbi wewe kuna watanzania kibao hatuna vyama lakini penye ukweli lazima tuseme, huyu shekhe ubwabwa kajiteka ili apate umaarufu na wahuni wenzie wapate sababu ya kuleta fujo, mlivyo na akili mbaya mnamwita mwanaharakati.
Kwanza sio wa-Islamu wanaofanya haya matendo ni wahuni wanajivika u-Islamu tu. Wa-Islamu wenyewe wanataka watu wote tuwe wa-Islamu dunia nzima na tuishi kwa Amani (ISLAM). Wanawashangaa sana wanaotumia jina la u-Islamu kufanya vurugu. Wasiwasi wangu unakuja pale (wa-Islam) wanaposhindwa kujitokeza hadharani kuwakana hao wahuni!.
 
Nimegundua watumiaji wenği wa jamii forum, ni makafiri na hawaipendi zanzibar,
dah sijui kwa nini, kama hamtupdndi si mtuachie tupumuwe? Kwani lazima muungano?
Watanganyika tumekuchokeni, nendeni., tuwàchieni wazanzibar na visiwa vyetu.
 
Nina marafiki wengi safi waislamu, hawashabikii uchafu huu. Ponda na Fareed ni magaidi..Serikali yapaswa iwape kibano cha ukweli.

Yule mama aliyekuwa anamuhoji huyu Fareed ana akili kuliko Fareed.

Amemuuliza maswali magumu kweli kweli...

Fareed na dereva wake hawajajipanga sawa sawa...
 
Back
Top Bottom