mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Usikute waturuki wanapiga pesa nzuri kutokana na farasi huyo. Sisi tunaye twiga mweupe katavi nation park usikute hata waziri wa utalii halijui hilo na hata akilijua hataona kama ni ajabu la dunia.
Atakuwa ndo Buraq nini?
turkmenistan na turkey ni nchi mbili tofauti!
Nyie mnaongelea uturuki wakati farasi ni wa turkmenistan!!