ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
dogo,baba wote pumba tupu.
Basi punda angekua genius
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ama kweli watoto wa sasa hawana adabu kwa wazee wao. Ilitokea baba na mtoto kufarakana katika mazungumzo ambayo yalikuwa kama ifuatavyo:
Baba: Mbona unafeli kila mtihani mwanangu?
Mtoto:Sababu sina akili
Baba:Sasa ngoja nikupige fimbo ili uwe an akili
Mtoto:Ingekuwa fimbo ndio humfanya mtu kuwa na akili basi Farasi angekuwa PROFESA.