Fao la kujitoa NSSF

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Nimeangalia ITV nimejisikia vibaya sana Yule mwanadada ameongea kwa Uchungu sana nanukuu"

Mtu anayefanya kazi ngumu hata maamuzi yake ni magumu
Mwisho wa kunukuu

Hapa JF kuna mahodali wa kupost thread za malalamiko kuhusu Fao la kujitoa Withdraw benefit lakini hakuna jitihada zozote zinazofanyika kuwatisha watawala Wasiojali haki za wanyonge, mara ohh tuandamame or watatutambua mwaka 2015 kwenye uchaguzi...

Haya maoni hayana tija yoyote kwa utawala usiokuwa Sikivu,Nampongeza sana yule dada ameongea kwa uchungu sana na mi nasema kama wasiporudisha Fao la kujitoa hakika. Uamuzi nitakaochukua tusilaumiane

Hawa Viongozi tumefika mahala inatosha

Nawasilisha

Ni mimi Umkhonto we Sizwe
 
Wafanyakazi wote waandamane wapinge hiyo sheria kandamizi! tusitegemee serikali dhaifu wala bunge la wapenda posho kutupigania.
 
Nimeangalia ITV nimejisikia vibaya sana Yule mwanadada ameongea kwa Uchungu sana nanukuu(Mtu anayefanya kazi ngumu hata maamuzi yake ni magumu)Mwisho wa kunukuu

Hapa JF kuna mahodali wa kupost thread za malalamiko kuhusu Fao la kujitoa Withdraw benefit lakini hakuna jitihada zozote zinazofanyika kuwatisha watawala
Wasiojali haki za wanyonge,mala ohh tuandamame or watatutambua mwaka 2015 kwenye uchaguzi,

Haya maoni hayana tija yoyote kwa utawala usiokuwa Sikivu,Nampongeza sana yule dada ameongea kwa uchungu sana na mi nasema kama wasiporudisha Fao la kujitoa hakika. Uamuzi nitakaochukua tusilaumiane

Hawa Viongozi tumefika mahala inatosha

Nawasilisha

Ni mimi Umkhonto we Sizwe
 
Wafanyakazi ni waoga kama nini, Na mimi nashauri hili Fao la kujitoa lirudishwe kwa wafanyakazi wa Migodi pekee, make wengine hawana time nalo na hawajawahi sumbuka kutafuta haki, na haiwezekani wafanya kazi wa Migodi wawahangaikie wafanyakazi wa Tasisi zingine,
 
Hilo jambo mkuu liko karibu kutokea ,ukifuatilia hata Mh. Jaffu alitembelea wafanyakazi wa migodi tu kwa kuwa wao ndo walipaza sauti kuhusu sheria hii kandamizi,hata tume ya kukusanya maoni ya wadau ilitembelea Geita Mwanza na Shinyanga na kama umefuatilia wafanyakazi hao wametoka Geita mpaka Dsm ili kupaza sauti zao,na kwa tetesi zilizopo ni kuwa waliocha kazi migodini baada ya sheria hii kutungwa wakienda wanapewa mafao yao
 
Hakika nakuambia tunakoelekea ni Fao la kujitoa litaolewa kwa Wafanyakazi wa Migodi tu kwa wafanyakazi wa sector nyingine hakuna mpka ufikisha miaka 60,mimi siko katika sector ya Mogodi hapo ndiyo nachoka,hicho ndicho kinachonisukuma kudai haki yangu,Sijui kwa nini naongozwa na uongozi wa kipuuzi namna hii

Sijui nifanye nini ila mi nataka haki yangu kwani nimeresign mwezi wa 5 na sasa niko home tu nimeamua kuwa entepreneur kuliko kuendelea kusubiri huu ushiiiiiiiiiiit
 
mimi si mwanachama wa hiyo mifuko kandamizi ila km mtaanzisha nitawaunga mkono.Naweka hela bank na katika saccos..anyaway kwa vile si mwajiriwa tuu.Pengine ni kipindi cha kuwarudhusu watu waweke kwa mikataba tofauti.Watakaoamua for life poa.kwa wasiotaka basi wapewe hela instantly na wala si miezi kadhaa baadaya kuacha kazi.
 
Hilo jambo mkuu liko karibu kutokea ,ukifuatilia hata Mh. Jaffu alitembelea wafanyakazi wa migodi tu kwa kuwa wao ndo walipaza sauti kuhusu sheria hii kandamizi,hata tume ya kukusanya maoni ya wadau ilitembelea Geita Mwanza na Shinyanga na kama umefuatilia wafanyakazi hao wametoka Geita mpaka Dsm ili kupaza sauti zao,na kwa tetesi zilizopo ni kuwa waliocha kazi migodini baada ya sheria hii kutungwa wakienda wanapewa mafao yao

hizo tetesi si kweli na patachimbika zaidi hasa Dar
 
wanaweza dhani kuwa wengine hawajali, ukweli ni kuwa we are monitoring the issue closely.
 
wanaweza dhani kuwa wengine hawajali, ukweli ni kuwa we are monitoring the issue closely.

mkuu umesema kweli yaani kama wanataka timbwili watuzingue kwenye mafao yetu watu siyo kwamba tumelala tunasubiri mbunge litengue sheria hiyo ya kipuuzi kabisa..
 
Wakizuia mafao yetu kwa kufuja pesa zetu kwa maslahi yao kisiasa na kutuacha sisi tukihaha,dawa yao itakuwa kwenye sanduku la kura, na itakuwa mtaji mzuri sana kwa CDM kuwamaliza kabisa,wafanyakazi wote na wategemezi wao tuungane na kuwatoa wadhalimu waliochezea pesa zetu na sasa wanataka kulinda mifuko isifilisike maana hawawezi kulipa mideni mikubwa hivyo,ni dhambi na aibu sana....wathubutu kuzuiaa wataona nini kitafuata!nitawashangaa sana hasa wanajeshi na polisi woote na magereza maana wao hawana muda mrefu wanastaafu wataishije kama hakuna mafao?katiba iwe wazi pesa zetu zisichezewe kisiasa kabisa na wakuu wa ile mifuko wasiwajibike kwa rais maana wanamuheshimu ndie aliwachagua wanalindana!shame
 
Wafanyakazi wa sector nyingine walitaka kufungua kesi kuishitaki serikali kilichozuia ni mh jafo kupeleka hoja bungeni kwahyo kama bunge likitupia pembeni hyo hoja hapo ndio kitanuka, njia rahisi ya kuwaadabisha wafanyakazi wote tusipeleke michango kama hoja haijapelekwa bungeni.
 
Hata tukiandandamana itasaidia nini? wale wazee wa Afrika mashariki walilala barabarani kabisa na mpaka leo mswaki! kinachotakiwa ni mipango thabiti ya kupambana na mafisadi hawa!
 
Hata tukiandandamana itasaidia nini? wale wazee wa Afrika mashariki walilala barabarani kabisa na mpaka leo mswaki! kinachotakiwa ni mipango thabiti ya kupambana na mafisadi hawa!

yaani wafanyakazi wote tanzania unawafananisha na wazee wa EA, tukiandamana siyo kwenda kuomba kumya chai na dhaifu ni kumwondoa naamini hata makada wa ccm watatuunga mkono..
 
Tanzania ni taifa la maneno matupu.

mkuu waswahili wanasema hata mbuyu ulianza mchicha ikumbukwe wameanza kuingiza jeshi kuzima fujo za watanzania wasio zidi 1000, hii ni ishara mbaya sana kwa serikali zamani ilikuwa ikipigwa bomu la machozi wote nyumbani lakini leo hii ni tofauti kabisa waendelee kutudharau watz..iko siku isiyo kuwa na jina hutoamini kitakacho tokea..
 
Mkuu point yako ni ya msingi sana.Wanatakiwa watafakari sana kabla ya kutenda ingawa huenda wameshachelewa.
 
Back
Top Bottom