Matope
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 892
- 679
Nimeangalia ITV nimejisikia vibaya sana Yule mwanadada ameongea kwa Uchungu sana nanukuu"
Hapa JF kuna mahodali wa kupost thread za malalamiko kuhusu Fao la kujitoa Withdraw benefit lakini hakuna jitihada zozote zinazofanyika kuwatisha watawala Wasiojali haki za wanyonge, mara ohh tuandamame or watatutambua mwaka 2015 kwenye uchaguzi...
Haya maoni hayana tija yoyote kwa utawala usiokuwa Sikivu,Nampongeza sana yule dada ameongea kwa uchungu sana na mi nasema kama wasiporudisha Fao la kujitoa hakika. Uamuzi nitakaochukua tusilaumiane
Hawa Viongozi tumefika mahala inatosha
Nawasilisha
Ni mimi Umkhonto we Sizwe
Mwisho wa kunukuuMtu anayefanya kazi ngumu hata maamuzi yake ni magumu