Jela au gereza ni sehemu ambayo mtu yeyote anaweza kuingia, aidha kwa kusingiziwa kosa (hawa ndio wengi), kufanya kosa kwa maksudi mfano kuiba, kuua,n.k,kufanya kosa kwa bahati mbaya mfano kuua bila kukusudia.
Makosa hayo yote yanaweza kukufikisha gerezani au jela siku moja, hivyo hayupo mtu ambae anaweza sema yeye katika maisha yake hawezi kuingia jela.
Siku ya kwanza kuingia jela hakikisha unakabidhi vitu vyako kwa askari pale mlangoni, kuna vitu haviruhusiwi gerezani kama vile simu, pesa, silaha yoyote, kabidhi vitu hivyo vitatunzwa mpaka siku ukiachiwa utakabidhiwa.
Kama kituo cha polisi umepigwa kipindi unatoa maelezo yako, ukifika gerezani sema umepigwa hautapokelewa baadala utarudishwa polisi na kupewa PF3 ukatibiwe, hii itakusaidia ukifika mahakamani kukataa maelezo uliyoyatoa polisi na kuonesha PF 3 kuwa ulishurutishwa kukubali kosa.
Mambo mengine muhimu ni pamoja na kutii na kufuata taratibu zote ukiwa ndani ya gereza, ukiambiwa kuwa point ile unakuwa point hiyo, ukiitwa na askari unachuchumaa chini na kujiepusha kuingia migogoro na viongozi wa wafungwa (Nyampara na viherehere) pamoja na askari.
Mambo mengine muhimu.
Ukifungwa unaondolewa moja ya tatu ya kifungo chako yaani theluthi moja, mfano miaka 30 unatumikia miaka 20 isipokuwa kwa wafungwa kwa wafungwa wa kunyongwa na wale wa maisha.
Nakaribisha maswali.