Fanya haya mwanamke wako asikusaliti

Fanya haya mwanamke wako asikusaliti

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,440
Reaction score
3,606
Habari za masiku wapendwa.

Nimegundua haya machache pengine yanaweza kutufaa sisi wanaume tulio oa kuishi vema bila kusalitiwa na wapenzi wetu. uzoefu wangu mdogo kwa wanawake watatu unaweza kuwafaa na wengine.

1. Usimuongeleshe vibaya wala kumgombeza mpenzi wako, mwanamke ni rahisi kusaliti kama yupo kwenye ndoa au mahusiano asiyoheshimika hasa hawa mabinti wa 90S kuendelea utagongewa sana ukijifanya kauzu.

2. Usiishi mbali na mwanamke wako kwa muda mrefu, wanawake wana hisia za kimapenzi kama wanaume asikudanganye mtu kuwa wanawake wanaweza kuvumilia , ni vile mwanamke hawzi tongoza ila kama kuna mtu yupo karibu naye atakusaliti tu, hakikisha unampa tendo mkeo mara kwa mara.

3. Usiruhusu mawasiliano ya mwanamke wako na ex wake asilimia kubwa wanawake wana saliti na waliokuwa wapenzi wao wa zamani au wanaume waliowahi kuwatongoza , mazoea yoyote ya mke wako na wanaume wasiojulikana hayatakiwi.

4. Mwanamke wako asifanye kazi ya kupambana sana kama siasa , mziki au shughuli yoyote inayohitaji kupata connection na kupambana sana wengi tunajua siasa na mambo mengi ya kiuchumi ni male dominated mwanamke anavyokuwa exposed sana huko ni rahisi kushawishika.

Nimeongea haya baada ya kuona wanawake watatu niliokuwa nao kwenye mahusiano bado naweza kuwa nao kwenye mahusiano hata baada ya kuolewa, mmoja kaolewa na leturer UDSM huyu lecturer anamchukulia poa sana huyu mwanamke pamoja na kuzlisha nje bado ana mdharau kitu kinachofanya huyu dada kunitafuta.

Wapili ni nesi huyu jamaa yake toka kahamia dodoma anaweza kaa miezi minne bila kuonana na mke wake na kuna treni ya mwendokasi, kitu kinachofanya huyu dada apende kuonana na mimi mara kwa mara.

watatu huyu mme wake dont care mwanae kalazwa sickel cell muhimbili hajawahi fika hospital hata kumuona mtoto mwezi mzima mpaka mtoto anafariki imagine mtoto anafariki napewa taarifa mwanzo kama mzazi kisa mme haonyeshi ushirikiano.
 
Imeniuma sana baada ya kugundua mwanamke niliye kuwa nadate naye alikuwa na mke wa mtu na mumewe amelitambua jana kwa kunipigia simu...sikumficha chochote japo jamaa hajaonesha nia mbaya...sijui kama nipo sakama hivi sasa.
 
Habari za masiku wapendwa.

Nimegundua haya machache pengine yanaweza kutufaa sisi wanaume tulio oa kuishi vema bila kusalitiwa na wapenzi wetu. uzoefu wangu mdogo kwa wanawake watatu unaweza kuwafaa na wengine.

1. Usimuongeleshe vibaya wala kumgombeza mpenzi wako, mwanamke ni rahisi kusaliti kama yupo kwenye ndoa au mahusiano asiyoheshimika hasa hawa mabinti wa 90S kuendelea utagongewa sana ukijifanya kauzu.

2. Usiishi mbali na mwanamke wako kwa muda mrefu, wanawake wana hisia za kimapenzi kama wanaume asikudanganye mtu kuwa wanawake wanaweza kuvumilia , ni vile mwanamke hawzi tongoza ila kama kuna mtu yupo karibu naye atakusaliti tu, hakikisha unampa tendo mkeo mara kwa mara.

3. Usiruhusu mawasiliano ya mwanamke wako na ex wake asilimia kubwa wanawake wana saliti na waliokuwa wapenzi wao wa zamani au wanaume waliowahi kuwatongoza , mazoea yoyote ya mke wako na wanaume wasiojulikana hayatakiwi.

4. Mwanamke wako asifanye kazi ya kupambana sana kama siasa , mziki au shughuli yoyote inayohitaji kupata connection na kupambana sana wengi tunajua siasa na mambo mengi ya kiuchumi ni male dominated mwanamke anavyokuwa exposed sana huko ni rahisi kushawishika.

Nimeongea haya baada ya kuona wanawake watatu niliokuwa nao kwenye mahusiano bado naweza kuwa nao kwenye mahusiano hata baada ya kuolewa, mmoja kaolewa na leturer UDSM huyu lecturer anamchukulia poa sana huyu mwanamke pamoja na kuzlisha nje bado ana mdharau kitu kinachofanya huyu dada kunitafuta.

Wapili ni nesi huyu jamaa yake toka kahamia dodoma anaweza kaa miezi minne bila kuonana na mke wake na kuna treni ya mwendokasi, kitu kinachofanya huyu dada apende kuonana na mimi mara kwa mara.

watatu huyu mme wake dont care mwanae kalazwa sickel cell muhimbili hajawahi fika hospital hata kumuona mtoto mwezi mzima mpaka mtoto anafariki imagine mtoto anafariki napewa taarifa mwanzo kama mzazi kisa mme haonyeshi ushirikiano.
Hao uliwasema humo ni wanawake wa nchi gani,naona hilo haliwahusu wanawake wa Tanzania...
 
Umejuaje kama hautombewi?
 
Akiamua kugawa Mali yake Mimi inanihusu nini? Eti usaliti, usaliti mkubwa ninao mimi yaani nikijisaliti...
Hayo ya mwenzangu yapo ndani ya himaya yake!
 
Mwanamke akishajiingiza kwenye siasa kwisha habari yake, lazima tu apende asipende atavuliwa chupi na wajanja ili apate connection. Mfano ulio hai ni wabunge wetu hapa Tanzania pamoja na kina Mama na madada waliopo madarakani katika mashirika tofauti tofauti hapa nchini.
 
Umesema wake wa wenzio wakwako unajua anagongwa na nani?
Acha kujipa ujuaji kijana. Hao watu waaminiki kabisa utamhudumia kwa kila kitu lakn atakuja kutoa utelezi kwa bodaboda wake kisa anamfautia vitu sokon kwa wakati
 
Kijana kwa maelezo yako kama wewe sio jobless basi hujaoa siku ukioa uje usome tena uzi wako cha pili chunga sana huna muda mrefu utakunjuliwa " kisoda" yani kama mume yuko mbali wewe inakuuma au kukuhusu nini? Chunga sana kuingia katika ndoa za watu
 
Back
Top Bottom