Uko wapi?sumu hizo.
kinywaji bora na namba moja duniani ni maji ya kunywa
Maji yenyewe yanatengenezwa mfano-:Afya,Uhai,klm,pangani nk...umechemka mkuu..sumu hizo.
kinywaji bora na namba moja duniani ni maji ya kunywa
Ukimaliza pitia hapa kwa mpemba mkuu nimeweka oda yakoHii Fanta ya ulaya wanapunguza sukari, Fanta ya bongo bwana upate kiepe na mishkaki pembeni
duhHii Fanta ya ulaya wanapunguza sukari, Fanta ya bongo bwana upate kiepe na mishkaki pembeni