Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Hata walete soda ya aina gani sinywi hizo sumu
Nakubaliana na wewe. 250ml ndogo hivyo?Itakuwa photoshop, 250ml haiwezi kuwa ndogo hivyo
Save water drink beersumu hizo.
kinywaji bora na namba moja duniani ni maji ya kunywa
Kunywa maji ndoo moja nikija nitalipa...sumu hizo.
kinywaji bora na namba moja duniani ni maji ya kunywa
Ni kweli.Hii Fanta ya ulaya wanapunguza sukari, Fanta ya bongo bwana upate kiepe na mishkaki pembeni