Family Marriages VS Love Marriages: Which is which?!

Jana nikiwa stand nilikutana na binti mmoja tukiwa shule nilimpenda sana tena mno nikataka nimchumbie alinipiga kibuti cha ugoko jana nikaonana nae dah Mungu si athumani nikakumbushia ahadi yangu ile naona anakuja sasa huyu nimfanyaje kipindi kile alinitosa sasa anakubali nimuoe hajachuja kweli?
hehehe!mimi nikishauri kaizer ataponda!...ongea na kaizer:D:D
nitaku-esiemuesi
 
family marriages naona zinadumu kwa asilimia kubwa!....
 
Jana nikiwa stand nilikutana na binti mmoja tukiwa shule nilimpenda sana tena mno nikataka nimchumbie alinipiga kibuti cha ugoko jana nikaonana nae dah Mungu si athumani nikakumbushia ahadi yangu ile naona anakuja sasa huyu nimfanyaje kipindi kile alinitosa sasa anakubali nimuoe hajachuja kweli?
taratibu kaka, kumbukeni angaza kwanza!
 
Kweli mpwa nilikutana na Twimwibate akielekea Mby.
Dah mtoto black beauty mate yalinidondoka si unajua watoto wa mby walivyo wanang'aa na natural face, mtoto nilimuuliza nn hasa siri ya urembo wako alisema ni parachichi tu.
 
..hehehe!:D:D
hamna mapoudaaaa!
 
Kweli mpwa nilikutana na Twimwibate akielekea Mby.
Dah mtoto black beauty mate yalinidondoka si unajua watoto wa mby walivyo wanang'aa na natural face, mtoto nilimuuliza nn hasa siri ya urembo wako alisema ni parachichi tu.

dah mpwa una bahati!

apo we kama vipi angalia kushoto kulia mchungulie kipa kakaaje...kama hujaotea we malizia kimiani kabisa

ila angalia isije akawa na mambo ya kichina unajua kuangalia kweli feki na orijino?
 
waarabu wa chalinze,I MEAN PEMBA!:D
 
Hahahahahaha wala maangel face yeye hatumii muulize Jose atakwambia.
Kilicho nikuna zaidi ile suti aliyo piga dah kama mhudumu wa ndege Emirates
mzee mate hayoo!...:D:D
contact ulichukua?huyo anafaa kwa project yako ati
 
Hapa mpwa unanikumbusha machungu alinipa alisema cmu imekwisha chaji akifika Mby atachaji usiku mzima namtafuta simpati mpaka saizi napiga simpati nahisi Jose alinizinguka kiaina maana alitoweka gafla nikawa namtafuta baadae nikamkuta na mtoto.
 
Back
Top Bottom