carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 262
more ethical!kilichokuwa kinafanyika ni tathmini tu mzee mwenzangu!kwa maisha ya sasa arranged marriages haziwezi kuwa into application.ni maeneo machache sana.hoja hapa ni kwamba hizi family marrieges zimeonekana kuwa successful kwa kipindi chake ukilinganisha na hizi ndoa za mapenzi.ndoa za mapenzi zimeleta na zinaendelea kuleta matatizo makubwa sana.
TUFANYE NINI SASA?...mj1 ameeleza vizuri.mimi kueleza kwa ungwine siwezi,labda kwa formula.lakini mj1 nimemkubali amenielewa mapema zaidi.kaizer..HAJANIELEWA