Family Marriages VS Love Marriages: Which is which?!

sasa sredi hamuitendei haki....:d

sredi inatendewa haki ila waku na wanachama wanaogoma matokeo ya mjadala huu unaweza kuwa msumari kwa ndoa changa kama yako japo umeshaoa siku nyingi na kuhalarisha na kama siyo kubariki tarehe 13 februari makambako!

Ebu tupe objective ya maada hii tafadhali!!!!!!!!
 
Ok Bwana harusi. Mi bado nadhani hizi ndoa unazoziita za kiwestern ndo zinafaa kwa sababu unachagua mwenyewe bila kushawishiwa na mtu yoyote kuoa/kuolewa. lakini ile ya kupangiana mume/mke haijatulia na hata kama zinadumu ni kwa kuwa watu wanaogopa tu jamii itasemaje tukiachana, wazazi walishachukua mahari itakuwaje, and so on, lakini zina matatizo mengi tu sema level ya uvumilivu ndo inayoziweka zidumu na si kwa sababu ingine ila kuigopa jamii itasemaje.

Hehehe! Raha na tamu ya ndoa Mke Umtongoze mwenyewe, akukubalie!
Raha na tamu ya ndoa mke atongozwe na mumewe!
Unasemaje hapo mamaa wa kutongozana? Hahaha!
 
lakini hizi ndoa inaonekana zina matatizo makubwa!au ni kwamba watu wanashindwa kuchagua?kwanin wasiige kwangu na kwa x-pin na kwa kaizer na kwako namna ya kuchagua???...:D
 
ya kwangu ni LOVE MARRIAGE...!

-wewe ni mtu wa kunipinga tu!baadae utasema ''ndoa yako ni changa mno kuyajadili haya'' i know you bana:D

Hahaha! Fita ni fita mura!
Usisahau kamanda wa fita yupo ndani ya nyumba!
 
sredi inatendewa haki ila waku na wanachama wanaogoma matokeo ya mjadala huu unaweza kuwa msumari kwa ndoa changa kama yako japo umeshaoa siku nyingi na kuhalarisha na kama siyo kubariki tarehe 13 februari makambako!

Ebu tupe objective ya maada hii tafadhali!!!!!!!!
unajua CHAKU!...mapenzi sijajifunzia jf.hapa tunajadili,tunashea mawazo na kuwekana sawa.keypad haziwezi teteresha ndoa yangu bana,lol!TURUDI KWENYE MADA MZEE MWENZANGU...!achana na objectives na sijui nin,we changia hojawenzako wameelewa
 
nimeshangaa tu binamu, si unajua maana ya mafanikio makubwa ya honemoon? Kijana anatisha!

hahaha, huenda mwenzio alikuwa ana maanisha mafanikiwa kwa maana ya kwamba hawajagombana hadi sa ivi manake wengine huwa wanagombana huko huko?

By the way carmel wataka kurudi honeymoon ili uweze kuonja mafanikio?
 
lakini hizi ndoa inaonekana zina matatizo makubwa!au ni kwamba watu wanashindwa kuchagua?kwanin wasiige kwangu na kwa x-pin na kwa kaizer na kwako namna ya kuchagua???...:D

Hahaha! Kale ka kwangu nilijichagulia mwenyewe.
By the time nimekolea sasa nataka nikakaintrodyuzi kwa wazee, Matesha alikuwa kwa tumbo tayari!
Then tukakamata baraka za wazee.
Afu Mwenyezi Mungu akaaprovu seleksheni yangu. Akagonga muhuri.
Tangu siku hiyo najilia vyangu kitakatifu!
Sijawahi kujuta. Akchuale huwa nashangaa kwanini nilichelewa kukaoa.
Ni kazuri na katamu kwelikweli! Kanajali na kunipenda mpaka najionea wivu!
 
hehehehehehe!hapo kwenye bold hapo,lol
 
ya kwangu ni LOVE MARRIAGE...!

-wewe ni mtu wa kunipinga tu!baadae utasema ''ndoa yako ni changa mno kuyajadili haya'' i know you bana:D

bora umejua hayo mapema, kila kitu kina authority bana

Mfano kwenye nmambo ya CCM na NEC authority hapa ni mkulu FMES,

Kiblurey hapa authority ni Blueray (Sijui kenda wapi)

Precision na precise authority ni Companero,

Kula chakula na kuosha sahani au kutokuosha pamoja na 'kainzi' authority ni MM Mwanakijiji,

Kulivua pendo na yaambatanayo authority ni MJ1

Tigo na kujiexpress ni mkulu Fidel80

Mambo ya chawote, Zero pub mdudu, etc authority ni Xpin

G clef na F clef authority ni mimi.

sasa kwenye hili bado hujawa authority manake we wa juzi tu! mwaga hoja hapa......:D:D ila una authority kwenye mengine tu sio hili bana
 
we haya tu!ukiendelea nitarusha picha niliyokupiga capetown
 
sredi hii haijatendewa haki!....nimeonewa sana,nimenyanyaswa sana na sredi hii,na kwakweli sijatendewa haki...!NAJUA TATIZO NI HII HANEMUNI:D
 
Geoff on my side I would like very much to turn around and go back to where we came from enzi za Family Marriages hasa kwa kuwa kwangu mie naona ndizo zilizokuwa na amani, utulivu, respect you name it- No one alikuwa anajifanya anajua kumzidi mwenzie kila mmoja alijua responsibilities zake kama mke au mume.

Zaidi ya hayo, maadili yalikuwepo kwani mume anaoa mke ambaye amepasishwa mtihani wa tabia na heshima, utulivu e.t.c lakini mume pia anakubaliwa kupewa binti kwa kuwa anafahamika vema tabia na utendaji wake kikazi. Respect inakuwepo kwa kuwa mtu unajua ukifanya upuuzi unakuwa unawaaibisha wazazi wako ambao wanawajibika kw awazazi wa mwenzi wako. Hii ilikuwa inaact kama displine mechanisms kwa wanandoa.

Lakini kwenye love marriage ni ugonjwa mtupu maana tumekwishakuwa brainwashed hadi hatuna tena cha asili. Tunakutana mtaani in the name of 'we love each other' tunakokotana hadi tunapofikia makubaliano ya kuoana ndipo wazazi wanapopata fursa ya kukutana na wazazi wa mkwe wao tena kukutana kwenyewe ni siku ya send off na arusi basi- no more attachment wala nini kiasi kwamba hata watoto wakigombana wazazi hawana mshikamano wowote sana sana kila mmoja anaona mwana wa mwenzie hakumfaa wa kwake! Na sisi tunapogombana/fanyiana uhuni hatuipati ile ladha ya 'ah wazazi wangu wataaibika kwa wazazi wa mwenzangu'

Westerners wametuambukiza ugonjwa mbaya sana unaoitwa haki za binadamu ambazo tumezitafsiri kwenda kuwa haki za mke v/s haki za mume! Mwanamke anajua haki zake (Including haki ya kucheat kama mumewe kacheat!!! ukorofi kama mumewe ni mkorofi!! yaani wenyewe wanasema anamwaga mboga kama mumewe kamwaga ugali ngoma droo yaani ubabe ubabe tu)

I would prefer to go back kule ambako you dont care kama mtu anakupenda au la (kupenda ya kizungu -ya sijui maua , card) all you care ni kuwa amekuchagua wewe uwe wake (kwa kigezo chochote kile) anakuheshimu na kukujali, anaelewa wajibu wake kama mume/mke na baba/mama wa familia. But kurudi kule a lot has to be changed ambayo si rahisi
 
Hehehe! Raha na tamu ya ndoa Mke Umtongoze mwenyewe, akukubalie!
Raha na tamu ya ndoa mke atongozwe na mumewe!
Unasemaje hapo mamaa wa kutongozana? Hahaha!
Afadhali uwe na mume aliyekutongoza mwenyewe ukamsikia jinsi anavyojikanyaga hadi umkubali, lakini wa kupewa unaweza siku akatoa dongo, mie wewe hata sijakupenda ila tu wazazi wali insist. lol! shurti utongozwe bana!
 
sredi hii haijatendewa haki!....nimeonewa sana,nimenyanyaswa sana na sredi hii,na kwakweli sijatendewa haki...!NAJUA TATIZO NI HII HANEMUNI:D

Will be back shortly! Nimesahau kunywa chai!
 
lakini hizi ndoa inaonekana zina matatizo makubwa!au ni kwamba watu wanashindwa kuchagua?kwanin wasiige kwangu na kwa x-pin na kwa kaizer na kwako namna ya kuchagua???...:D
kama matatizo yapo kwenye ndoa zote mbili, ishu ni vipi unadeal na tatizo lenyewe. wale ni wavumilivu na watu wengi wa sasa uvumilivu hatuna, life is too short to spend it unhappy ndo maana kuna breakups.
 
Back
Top Bottom