....Bar?! si bora ingekuwa Bar kwenye public,....huyu yupo chumbani kwa "shemeji" wanacheza karata za kulambishana! King'asti na wenzio wa 'UKAWA' Ukuje huku utoe semina elekezi! nyie ndio wahubiri mliobakia.
Hapo sasa mkuu Mbu wanalambishana garasa mara king na kula tano chukua mbili nimekuoa mhhh hapo hapana
Last edited by a moderator: