Family friendship inapovuka mipaka...

Family friendship inapovuka mipaka...

mweeeeh!!! kwahiyo hiyo nikulambishe akalamba dushelele badala ya karata au? hebu malizia story bana Tuko
 
Last edited by a moderator:
....hahaha, eti kuruka fensi!
e bana maisha ya kizazi cha kuanzia vijana wa 1965s mpaka early 90s
mwenyezi Mungu atunusuru tu, maana tunaowazaa watakuwa manunda kuliko!
 
Sometimes tunaaminiana kupita mipaka...

...hapo unakuta mtu anapiga simu Wife anajibu "Darling, nipo na shem-best wako hapa, usiwe na wasiwasi!"
kha?! ....kumbe wanaruka fensi kulambishana tano!
 
Mbu tena hiyo simu inapigwa saa tano za usiku niko na shemeji yako hapa darling usiwe na wasi wasi

Saa tano na mke wa rafikio mnafanya nini bar
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahaha nimecheka sijui kwa sababu sijaoa bado!??

Rafiki wa kaka yangu aliwahi kuniambia siku moja;
[Walisoma wote form one chuo - Medicine]

"Mimi nikimkuta kaka yako na demu wangu chumbani na wako uchi, halafu kaka yako akaniambia hawajafanya chochote, Nitamuamini!"

#sijui
 
Mentor hii ngumu kumesa
Uwakute wako uchi na wanakuambia hawajafanya chochote na uwaamini hata kama ni mzazi wako hakuna kitu hapo
Kufanya kitu sio lazima penetration hata kuishika tuu au matendo yote unayoyajua ambayo yanaweza kufanywa kwenye viungo vile bado haikubaliki hata kuviona tuu
 
I can swear on this sijatunga kabisa hii kitu. They used to call him, 'mchungaji'
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwambie hata asijali, maana hata kule nyumbani nao waliendelea kucheza Last Card na walilambishana sana possibly zaidi ya tano tano
 
lamba tano, stop, kwangu, kwangu, one card..... count! mkifikia hapo halafu uko na opposite sex; usiniambie habari za family friends zitakumbukwa. Tutalaumiana bure, hatujafika hatua ya kufuata kila kitu kinachofanyika Magharibi!
 
I can swear on this sijatunga kabisa hii kitu. They used to call him, 'mchungaji'

Mkuu Mentor sijabisha ila kwa hali ya sasa hakuna imani kwenye ndoa na siwezi asilani kumwamini rafiki yangu kiasi hicho kwanza hayupo ambaye hata tuu kumwambia nenda kwa wife au toka na wife kwenda kwenye sherehe
 
Last edited by a moderator:
Mbu tena hiyo simu inapigwa saa tano za usiku niko na shemeji yako hapa darling usiwe na wasi wasi

Saa tano na mke wa rafikio mnafanya nini bar

....Bar?! si bora ingekuwa Bar kwenye public,....huyu yupo chumbani kwa "shemeji" wanacheza karata za kulambishana! King'asti na wenzio wa 'UKAWA' Ukuje huku utoe semina elekezi! nyie ndio wahubiri mliobakia.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha nimecheka sijui kwa sababu sijaoa bado!??

Rafiki wa kaka yangu aliwahi kuniambia siku moja;
[Walisoma wote form one chuo - Medicine]

"Mimi nikimkuta kaka yako na demu wangu chumbani na wako uchi, halafu kaka yako akaniambia hawajafanya chochote, Nitamuamini!"

#sijui

.....KHAA?! hiyo #RussianRoulette sijaicheza bado, Uchi? No way...!:A S 114::A S 114::A S 114:
 
Tena aje kavuta kabisa.

p
....Bar?! si bora ingekuwa Bar kwenye public,....huyu yupo chumbani kwa "shemeji" wanacheza karata za kulambishana! King'asti na wenzio wa 'UKAWA' Ukuje huku utoe semina elekezi! nyie ndio wahubiri mliobakia.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mazoea ya namna hiyo kwangu marufuku...!
 
Back
Top Bottom